Kama una eneo Dodoma lipo tu hulifanyii kazi tuwasiliane tufuge nguruwe

Kama una eneo Dodoma lipo tu hulifanyii kazi tuwasiliane tufuge nguruwe

Nsumba ntale tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2016
Posts
713
Reaction score
762
Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza kama una eneo halina kazi naomba tukutane, ili tuone kama tunaweza kushirikiana tufuge nguruwe kama washirika mimi nina mtaji wewe eneo.

Eneo lisiwe nje sana ya mjini

Tafadhari tuwasiliane PM

Mrejesho: Nimeshapata eneo tayari ahsante JF
 
Kwa hali ilivyo kwa sasa Dodoma ni ngumu kupata eneo kubwa karibu sana na mjini kwa kufugia, Nina eneo zuzu.... Nakucheki tuyajenge
 
Back
Top Bottom