MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Kitu gani kinaliza hapo mkuu?
Labda anakata vitunguu!Kitu gani kinaliza hapo mkuu?
Doo hali ni mbayaNimekuja mbio nikidhani bonge la msiba, nimejiandaa kilio cha machozi... kumbe yale yale.
Nyie kwanza ndio mnafaa kuwa kwenye kilio maana mambo yanavyotendeka huko kwenu noma sana, nimeona sehemu eti waliokua wananunua korosho na kuuza wataishia kilio. Kawaida kuna wakulima ambao hawajiwezi hivyo unamuwezesha kwa kununua mbegu na kila kitu ikiwemo usafirishaji kisha baadaye mtagawana faida, sasa naskia mumetaifisha vyote eti kila mtu lazima aonyeshe shamba lake.
Balaa sana huko kwenu, vyuma vinakaza halafu kutwa mnahangaika na vya Kenya.
achana na hizo stori za vijiweni,huku kuna freedom of speech kubwaSauti sol wangekua tanzania saii wangekua wametekwa nyara, in kenya we say as it is, i voted for uhuru but right now im not his biggest fan,
Kenyan Catholic priest who publicly denounced the killing of opposition demonstrators by Kenyatta's government found deadSauti sol wangekua tanzania saii wangekua wametekwa nyara, in kenya we say as it is, i voted for uhuru but right now im not his biggest fan,
Wewe kama hii inakuliza basi wewe ni mwanamkeSauti Sol wako na Nyanshisik 7- Tujiangalie
Deni walioacha Uhuru na Karamogi wakenya bado wanalipa,kama hiyo haitoshi,Wakakopa tena China, wakajengea reli na barabara iliyobaki watu wakasanya
halafu huwa wanajisahau sana hawa watu,kwenye polittical assassination hatujawahi kuwafikia,hawa jamaa wamepita na vichwa kibao sana tokea enzi za KenyattaKenyan Catholic priest who publicly denounced the killing of opposition demonstrators by Kenyatta's government found dead
Kenya hamjawahi kuizidi Tanzania katika demokrasia hata siku moja.
Hivi naniliu ina ncha kumbe[emoji848]Kitu chenye ncha!
Hahahahah itakuwaLabda anakata vitunguu!
Hivi naniliu ina ncha kumbe[emoji848]
halafu huwa wanajisahau sana hawa watu,kwenye polittical assassination hatujawahi kuwafikia,hawa jamaa wamepita na vichwa kibao sana tokea enzi za Kenyatta
Sikuona ebu nionyeshe tena[emoji39][emoji39]Eeeh kwani siku ile hukuona ncha!
Njoo uone kwenye Telegram ncha kali.Sikuona ebu nionyeshe tena[emoji39][emoji39]
Telegram handle yako tafadhaliNjoo uone kwenye Telegram ncha kali.
Telegram handle yako tafadhali