Kama una machozi ya karibu pita mbali na huu uzi,Kenya hali ni mbaya

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Sauti Sol wako na Nyanshisik 7- Tujiangalie
Deni walioacha Uhuru na Karamogi wakenya bado wanalipa,kama hiyo haitoshi,Wakakopa tena China, wakajengea reli na barabara iliyobaki watu wakasanya
 
Nimekuja mbio nikidhani bonge la msiba, nimejiandaa kilio cha machozi... kumbe yale yale.

Nyie kwanza ndio mnafaa kuwa kwenye kilio maana mambo yanavyotendeka huko kwenu noma sana, nimeona sehemu eti waliokua wananunua korosho na kuuza wataishia kilio. Kawaida kuna wakulima ambao hawajiwezi hivyo unamuwezesha kwa kununua mbegu na kila kitu ikiwemo usafirishaji kisha baadaye mtagawana faida, sasa naskia mumetaifisha vyote eti kila mtu lazima aonyeshe shamba lake.

Balaa sana huko kwenu, vyuma vinakaza halafu kutwa mnahangaika na vya Kenya.
 
Doo hali ni mbaya
 
Sauti sol wangekua tanzania saii wangekua wametekwa nyara, in kenya we say as it is, i voted for uhuru but right now im not his biggest fan,
 
Sauti Sol wako na Nyanshisik 7- Tujiangalie
Deni walioacha Uhuru na Karamogi wakenya bado wanalipa,kama hiyo haitoshi,Wakakopa tena China, wakajengea reli na barabara iliyobaki watu wakasanya

Wewe kama hii inakuliza basi wewe ni mwanamke
 
Tanzania hatujawahi kupata political assassination, labda failed assassination ya Tundu Lisu pekee, ila Kenya ni zaidi ya watu 300 tena viongozi wa ngazi za juu wa kisiasa na viongozi wa dini.
halafu huwa wanajisahau sana hawa watu,kwenye polittical assassination hatujawahi kuwafikia,hawa jamaa wamepita na vichwa kibao sana tokea enzi za Kenyatta
 
Back
Top Bottom