Right Marker
Senior Member
- Apr 30, 2018
- 194
- 625
CHUKUA HII:
Hii ni kwa pande zote, wewe mwanaume au mwanamke. Kama una rafiki yako wa jinsia tofauti ambaye si mpenzi wako lakini mna mashirikiano mazuri kwenye biashara, epuka kutongozana.
Iwe ni biashara ya pamoja (kuchangia mtaji), biashara ya kubadilishana au kuuziana bidhaa, biashara ya kuungishana, au umemwajiri kwenye biashara yako - hakikisha unaepuka hisia za kimapenzi kwake (mahusiano ya kimapenzi yasiyokuwa na lengo la kuoana).
Epuka hilo kwasababu zifuatazo;
1. Kulinda heshima yako.
2. Kulinda biashara yako.
3. Kulinda mtaji wako.
4. Kulinda mashirikiano yenu.
5. Kulinda heshima ya kazi yenu.
RIGHT MARKER
DAR ES SALAAM