unawajua aliens,Wajapan maisha yao utasema ni aliens, vile vijamaa vinafanya kazi utasema mchwa.
Sema wana heshima na utu sana.
Niliwaona kwenye movie..unawajua aliens,
Uliishi nao wapi
Kazi ndio msingi mkubwa wa maisha, jamii inayofanya kazi na kujituma maendeleo ni lazimaWajapan maisha yao utasema ni aliens, vile vijamaa vinafanya kazi utasema mchwa.
Sema wana heshima na utu sana.
mkuu napenda mada zako za kusifia chinaJapan ilikuwa miaka ya 1980 na 1990 labda na early 2000s labda kama unaenda kwa ajili ya sex tourism. Tokyo is the next Pattaya
Vipi upatikanaji wa mbususu za kijapan?Japani kuna fursa nyingi za ajira (zisizo rasmi) ila zenye kipato kikubwa ukilinganisha na Tanzania.
Maisha ya Japani hayana gharama kubwa ukilinganisha na nchi nyingine zilizo endelea
Japani hali ya ubaguzi kwa
Waafrika sio kubwa ukilinganisha na mataifa mwngine.
Visa ya Kufika Japani ni rahisi sana, kuliko wengi wanavyofikilia.
NB: Kama kazi unayoifanya inakuingizia TZS 5mill kwa mwezi, basi Japan hapakufai, baki huko huko, ila kama below, unaweza ukaja kujaribu bahatinyako huku.
Kama kawaida mkuu 😂Vipi upatikanaji wa mbususu za kijapan?
Ni sahihi kabisaJapan wameinuliwa na falsafa zao kuhusu maisha. Ndio utagundua kuwa maendeleo yaa watu na ya Taifa huanzia akilini.
Mfano: Itadakimasu - mtu anaposhukuru kwa kila kitu hadi wahusika wadoooogo kabisa katika kuleta msosi inaonesha falsafa flani hivi
Nipe bie ya mbususu ni dollar ngapiKama kawaida mkuu 😂
Vipi upatikanaji wa mbususu za kijapan?