Kama una miaka chini ya 40, pambana ufike Japan

Tatizo la Wajapan wanafanya kazi mpaka wanalala makazini na ni kawaida kuona Mjapan ana miaka 40 Mpaka 50 lakini bado bikra kutokana na kukosa muda wa kujamiana, siendi ng'oo.
 
Mnawaza ngono tu ,pumbavu .Wajapan ni wazee wa kazi hasa , hizi akili zenu za kuwaza ngono na simba yanga bora mbaki hapa hapa
 
Kama KAZI Gani?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Tupatieni mwongozo wa kufika huko jobless Mimi nijaribu bahati yangu
 
Kwanini Serikali isifundishe lugha ya Kijapani au Kijeruma kwa watoto zetu shuleni kuliko kutuletea Kiarabu ambacho hakina faida.
 
Kwenda japaan jambo la kwanza kuwa na kibali cha mkazi ni jambo la pili, kila mahala dunia hii ukiweza pata citizenship umemaliza
 
Wajaps na wajeps ndo mnaita swaga??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…