Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Umeitendea haki Tz

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Nawe pia tupe details za kutosha,je idadi ya ng'ombe wanataka kuanzia wangapi,na bei yao ikoje
Mimi nilienda kupata uhakika zaidi wewe peleka hata ng'ombe 30000 kama unao masuala ya bei ya ng'ombe sijauliza maana focus yangu ilikua mbuzi..
Na ntakapoanza kupeleka mzigo wasinishangae..kwa anaetaka biashara hyo hapo nawe fatilia kwa uhakika zaidi!!
 
Umelaza kitambi chako hapo unataka uletewe taarifa tu sio? Unataka utafutiwe kila kitu?
Yaani acha kabisaa kwanza ningekaa Kimya wangejua ila mmeleta taarifa ili watu walio serious watake into consideration!!!
 
Sio uzito tu wanapiga kwingi sana..hayo mautumbo..mapembe na kwako..bado ngozi kwao ni super profit.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Nimeenda Jana Soga it is true biashara ipo na alivosema ndivyo ilivyo hajaongeza hata chumvi,Mungu ambariki sana huyu kaka!kwa aliye serious afanye tu na sasa hivi wananunua mpk ng'ombe.Mhimu uwe na Vibali!
Na hawana longongo majamaaa!!
[emoji419][emoji419][emoji419]
 
Let me be serious about this
I swear you won't regret!nilipitia pia kuuliza baadhi ya watu wanaopeleka mzigo wanawasifu jamaa sana wanasema hawana longolongo kuna mmoja alinambia yeye amepeleka last week mbuzi 15 akalipwa fastaa!hvyo fursa ni hyoo!!Bado Kondoa nilienda ntawapa mrejesho pia!
I think next week ntaenda inshallah!!!
 
Kuna faida kubwa sana ya sisivijana kutembea sites huko vijijini na maeneo yenye fursa na potential fulani ni muhimu sababu unakuwa na taarifa nyingi.....changamoto waajiriwa sijui unajigawaje upate kote
 
Unategemea anza lini bro?
 
Hongera sana mkuu, I think tutakutana huko kwenye biashara, lkn pia kama ukiweza leta mrejesho hapa itapendeza zaid
 
Wakuu kuna fursa hapa,zinahitajika tani 100 za ufuta mweupe na kwa bei nzuri utanunuliwa.DM iko wazi kwa wahusika.

ANGALIZO:UWE SERIOUS NA BIASHARA.
 
Wakuu naomba uzoefu wenu, hivi inawezekana kusafirisha mbuzi/kondoo kwa umbali mrefu bila madhara? Mfano km 1000.
 
Mbuzi wanalipa sana mkuu, nina ndugu zangu hii biashara imewatoa sana kimaisha sasahivi ukiwakuta kwenye majumba safi na ya kisasa zaidi na kila mmoja kajiwekezea mbuzi 200+ maisha safi yanaendelea
 
Wakuu naomba uzoefu wenu, hivi inawezekana kusafirisha mbuzi/kondoo kwa umbali mrefu bila madhara? Mfano km 1000.
Watu wanawanunua kutoka South Africa na kutoka uholanzi wanawaleta hadi hapa nchini kwaajil ya mbegu bora ww unaongelea kilometer za hapa ndani kwa ndani

Unapeleka popote
 
Wakuu naomba uzoefu wenu, hivi inawezekana kusafirisha mbuzi/kondoo kwa umbali mrefu bila madhara? Mfano km 1000.

Kusafirisha mbuzi na kondoo umbali mrefu inawezekana kabisa cha msingi zingatia haya;
Moja; jitahidi sana kuwasafirisha usiku au wakati ambao joto/jua siyo kali sana
Pili; Jitahidi kumpata kijana atakayekuwa anawaamsha pale wanapolaliana. Kuna vijana wanafahamu vema shughuli hii japo ikifika usiku wanawashughulikia pia mbuzi na hasa kondoo[emoji851][emoji851][emoji851].

Tatu; Zingatia kipengele A na B hapo juu.
 

Shukrani mkuu!! Niko Kagera huku chimbo bei ya mbuzi nahisi itakuwa rafiki zaidi. Ila hapo kwenye vijana kushughulika na kondoo usiku[emoji23][emoji23]
 
Ngoja kwanza....vijana wanafanyaje??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…