Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

Ambaye anafanya hii biashara atupe mrejesho ,mimi nilikuwa nataka kuifanya kipindi cha Corona ,kupeleka Mbuzi kenya ,ila Corona ikavuruga kila kitu , mipaka ukafungwa kwa muda mrefu na usumbufu kibao mpaka pesa niliokuwa nayo ikaisha .
Kwa anayefanya kwa sasa tunaomba mrejesho basi
 
Bro naomba unicheki private tufanye kazi hutojuta .
 
Nipo Arusha, hv Simanjiro una uzoefu na mbuzi wao, maana naona kwangu ni karibu na nimejionea wana mbuzi wengi sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…