Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
ingekua kwenye suala la kilimo tungeita kilimo mtandao huku sijui niitaje ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
reymage vipi ulifanikiwa kuandelea na hizi harakatiJana kulikua na mnada mtiriangwi,minada inaenda kwa tarehe Leo ulikuwepo Gwandi Wilaya ya Chemba!
Usafiri upo kuna magari ya minada pia!Mimi nilienda majuzi nilienda majuzi nimesavei sana tu!ukiwa tayari ntafute!
Mzigo pesa yako tu!
Kwann ss wauzaji wa mbuzi msizungumze nao muanze kuuza mbuzi mzima akapimwa uzito akiwa hai(Live weight)kisha zikaondolewa kilo kadhaa kwa makadirio?Tatizo wanachinja usiku na huwa mbuzi ni wengi sana labda zaidi ya elfu 5 na wanakuwa wamechanganywa kutoka sehemu mbali mbali ni ngumu kuingia kiwandani kusubiria mbuzi wako wachinjwe na in short utaratibu wao uko hivyo, lakini they are reliable.
Habari mkuu. Nipo interested kwenye kununua mbuzi na kunenepsha. Naomba kama unaweza unipe mwongozo wako wa namna ya kuwalisha na kuwaboost mbuzi.Utanicheki inbox kama una interest ya hili wazo ili nikupe ufafanuzi zaidi namna ya kuwalisha na kuwaboost mbuzi au mifugo yoyote na kuwauza kwa faida ndani ya mda mfupi tu.
Kila la heri Mkuu..Me nimefika mpaka kiwandani kuwaomba kwanza hiyo Tenda ya kupeleka mbuzi wamekubali mwisho wa mwezi huu nitakuwa na mrejesho hapa jamvini
Itapendeza sanaMe nimefika mpaka kiwandani kuwaomba kwanza hiyo Tenda ya kupeleka mbuzi wamekubali mwisho wa mwezi huu nitakuwa na mrejesho hapa jamvini
Naomba kufahamu hapo kiwandani wananunua mbuzi kwa bei gani?Me nimefika mpaka kiwandani kuwaomba kwanza hiyo Tenda ya kupeleka mbuzi wamekubali mwisho wa mwezi huu nitakuwa na mrejesho hapa jamvini
Soma juu huko utaona wananunua kwa kilo elf8 Kama sijakoseaNaomba kufahamu hapo kiwandani wananunua mbuzi kwa bei gani?
Ahsante kwa taarifa mkuuBei imebadilika asaivi 10300 per kg kama usafili ni wako kama usafili ni wao jamaaa 10000 per kg inamaana kama unambuzi wapi sehemu ni wengi vya kutosha hutoa gari yao Kuna kuwafata Cha umuhimu ni upate tenda ya kupeleka mzigo ndio inakuwa rahisi kwako maaana tukipeleka mbuzi kichwa kichwa utakula hasara wana preference zao wanazitaka inafaaa uzizingatie
Hiyo bei ya 8000 ni ya zamani sana