ozone layer
JF-Expert Member
- Oct 27, 2021
- 471
- 1,935
Soko la kenya lipo vizuri, wana viwanda vinahitaj mbuz za Tanzania ili wachinje wauze nje, changamoto iliyopo wakenya hawapend watanzania waifikie hiyo fursa,, ukienda kwao watakufanyia vitimbwi ikiwemo kukupokonya hela au watakulipa vzr awam ya kwanza, ya pili ya tatu na kuendelea boss anakutapeli mzigo anapoteaKuna wakenya nawaonaga wananunua mbuzi kwenye masoko hapa Arusha na wananunuaga Bei ghali sana. kiasi wakiwa sokoni wabongo husubiri mpaka wamalize kununua.je Kuna yeyote humu kwenye ufaham na solo la kenya?