Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Shule haina huduma yoyote ya kishule kuanzia bweni, watoto wanalala kwenye godown la kanisa, pia humo humo kunavyoo vichafu hatari, Hakuna walimu wa A level hata mmoja, na kuna combination kibao,, Mtt akitaka kusoma analipia sh1000 km tution,,km huna hakuna kusoma,,hakuna jiko wala dining wanafunzi wanashida sana,, tafadhali mtt akikwambia umuhamishe msikilize shule ni kiama ya dunia ile looohhh
Ndo imeanza mwaka huu au??
iko wapi
ipo wapi hiyo mkuu?
Unasoma hapo?,kama husomi hapo achana na hii habari,kwani nina uhakika waliopo hapo hawajafungwa kamba kuzuiwa kuondoka au kuzuiwa kuwaambia walezi wao,huku ni kuharibiana tu
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Sijui hv ss ni intake ya ngapi ila ni hatar watoto wa kike wamekomaa km wanakula cement,, chakula wanakulia mbali mtu akiwahi anamwaga chakula chote watoto wanalala na njaa yaaani km kuna mtt wako huko kamtoe haraka sna
Unasoma hapo?,kama husomi hapo achana na hii habari,kwani nina uhakika waliopo hapo hawajafungwa kamba kuzuiwa kuondoka au kuzuiwa kuwaambia walezi wao,huku ni kuharibiana tu
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Shule haina huduma yoyote ya kishule kuanzia bweni, watoto wanalala kwenye godown la kanisa, pia humo humo kunavyoo vichafu hatari, Hakuna walimu wa A level hata mmoja, na kuna combination kibao,, Mtt akitaka kusoma analipia sh1000 km tution,,km huna hakuna kusoma,,hakuna jiko wala dining wanafunzi wanashida sana,, tafadhali mtt akikwambia umuhamishe msikilize shule ni kiama ya dunia ile looohhh
Mwandikie JK huenda akawakumbuka akawapa hata pesa ya trip moja. Inatosha bweni. Hafla ya juzi kati kwa ajili ya kuwaburudisha matajiri wa mpira RM zingetosha kujenga mabweni 2 na jiko na dining hall. We vipi huishi kulalama humu JF? Hakuna msaada humu, we wadhani kuna mzazi mwenye mtoi hapo awezaye kuwa humu JF? Poleee
Mkuu waonee huruma watoto wa wenzako, ktk shule hizi mpya hakuna mtoto wa kigogo anayekwenda kusoma ktk shule hizo. Watoto waliopangwa huko ni wale wenzetu ambao nauli ya kufikia huko mpaka auzwe mbuzi, au dada atume nk nk. Vipi kama angekuwa ni mdogo wako ndo yuko ktk mazingira hayo.
Hapa wazazi wanatakiwa kujua miezi 24 ndio inakatika mdogo mdogo.
Kama ww huna mtt piga kimya inatosha sana
Unasoma hapo?,kama husomi hapo achana na hii habari,kwani nina uhakika waliopo hapo hawajafungwa kamba kuzuiwa kuondoka au kuzuiwa kuwaambia walezi wao,huku ni kuharibiana tu
Sent from my iPhone using JamiiForums app
lazalaza;
ww unategemea kulalama kwako humu JF kutawasaidia hao watoto wanaopata hiyo kadhia?? Au una self interest zako hutaki kuzisema? Mbona mkali ka zuberi!! Nimekufundisha njia nzuri tu, wakihama wote hiyo shule itakuwa gofu?? Dawa si kuhama, ni kuweka mazingira ya kufaa na ni hivyo nilivyotaja. Nasema, tatizo si uwezo wetu tatizo ni vipaumbeleeee
asee mwambie huyo... Elimu yake ndogo sana- uwezo dhaifu wa kufikiri! Si haba akawa mtangazaji wa radio one akasema msitangaze clouds fm wala kwingine, tangazeni hapa hapa radio one na bado akajiona mtangazaji bora #professional ethics mjomba sio vyema kuharibiana, unataka afunge shule aje akuibie?