Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Shule haina huduma yoyote ya kishule kuanzia bweni, watoto wanalala kwenye godown la kanisa, pia humo humo kunavyoo vichafu hatari, Hakuna walimu wa A level hata mmoja, na kuna combination kibao, Mtoto akitaka kusoma analipia sh1000 km tution, km huna hakuna kusoma, hakuna jiko wala dining wanafunzi wanashida sana, tafadhali mtoto akikwambia umuhamishe msikilize shule ni kiama ya dunia ile looohhh