Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
sio ulaya wala afrika swala la wanawake tasnia ya usanii yani kama inawapa shida sana ukilinganisha na wanaume.
Kuna shida gani sanaa na wanawake
Kuna shida gani sanaa na wanawake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikuwepo enzi za ujana wake.mengine acha kukurupuka kama historia ya bibi yako tu ufahamu ujana wakeShida inaanzika kichwani.
Mbn Bi.Kidude hajasumbuliwa? Na alikuwa anaimba na kutoa hits..
Hapa sizungumziii ujana wala utoto. Nazungumzia SANAA yake. Iwe alianza akiwa mtoto au uzeeni hainihusu.ulikuwepo enzi za ujana wake.mengine acha kukurupuka kama historia ya bibi yako tu ufahamu ujana wake
Bila kuwasahau Gigy money,ShiloleWanawake wanakutana na changamoto kwenye kila idara, muhimu ni wao kujitambua, kuhusu scandals za wasanii wa kike hizo ni tabia zao binafsi hata wangekua walimu bado wangekichafua tu
Kuna wasanii wa kike wanaojielewa mfano; Jide, Odama, Nargis, Dayana Nyange, Maua Sama, Irene Paul, Malkia Karen etc
Usanii ni uhuni, umalaya, uzinzi, utapeli, wizi, tabia chafu, and you name it!sio ulaya wala afrika swala la wanawake tasnia ya usanii yani kama inawapa shida sana ukilinganisha na wanaume.
Kuna shida gani sanaa na wanawake