Don sparrow
Member
- Dec 23, 2017
- 50
- 42
hatuna huo muda wa kumwambia, yeye aimbe tu na nyimbo ikiwa nzuri ita hit tu na ikiwa mbaya itachuja na atapotea kwenye anga la musicNimejaribu kuvunga sana ...sema nimeshindwa labda mi sina sikio la studio lakini nadhani jux amekuwa na style moja ya kuimba ..yan nyimbo zjmekuwa na ladha moja ..mpka zina kinai mana watu tunahitaj mixing ya ladha ...inatupa kazi wadau tunao mkubali jamaa kama ..mna namba zake mwambien kitaa amedhoofika kimuziki mana kaganda na eneo moja
Nimejaribu kuvunga sana ...sema nimeshindwa labda mi sina sikio la studio lakini nadhani jux amekuwa na style moja ya kuimba ..yan nyimbo zjmekuwa na ladha moja ..mpka zina kinai mana watu tunahitaj mixing ya ladha ...inatupa kazi wadau tunao mkubali jamaa kama ..mna namba zake mwambien kitaa amedhoofika kimuziki mana kaganda na eneo moja
Mambo mengi yule naeJux huwa anaimba maujinga ujinga tupu
Hahaahahaa....dahAnaishi kwa nyota ya Vanessa huyo. Ndio maana aligongewa demu wake akajifanya haoni,.
Sema hii ya safari hii kazingua kinyama hakujipanga kwa kweli yani inaboa inaboahatuna huo muda wa kumwambia, yeye aimbe tu na nyimbo ikiwa nzuri ita hit tu na ikiwa mbaya itachuja na atapotea kwenye anga la music
dogo janja,nikki,joh makini,sijuagi wanaimba nn
Watu mna manenoAfadhari Dogo Janja kavaa viblauzi kapendeza, hao wengine bure tu.
Ata mimi kama huyo dogo janja simuelewagi kafanya ngoma mbovu inaitwa wayu wayu ipo kuhamasisha ushoga mpaka sasa nashindwa kuelewa kwanini haifungiwi ni kichefuchefudogo janja,nikki,joh makini,sijuagi wanaimba nn
Huyu hawezi badilikaNimejaribu kuvunga sana ...sema nimeshindwa labda mi sina sikio la studio lakini nadhani jux amekuwa na style moja ya kuimba ..yan nyimbo zjmekuwa na ladha moja ..mpka zina kinai mana watu tunahitaj mixing ya ladha ...inatupa kazi wadau tunao mkubali jamaa kama ..mna namba zake mwambien kitaa amedhoofika kimuziki mana kaganda na eneo moja
anakupagawisha? ndio maana unaandika kama mtu aliyepagawa poleKweli watu tunatofautiana kwanyie mnaosema jamaa hajui cjui ni feki duuh.
Mi naona yuko vizuri sana km huu wa juzi yaaan unanipagawisha hatari.
Au sijui mziki mzuri