Don sparrow
Member
- Dec 23, 2017
- 50
- 42
Nimejaribu kuvunga sana ...sema nimeshindwa labda mi sina sikio la studio lakini nadhani jux amekuwa na style moja ya kuimba ..yan nyimbo zjmekuwa na ladha moja ..mpka zina kinai mana watu tunahitaj mixing ya ladha ...inatupa kazi wadau tunao mkubali jamaa kama ..mna namba zake mwambien kitaa amedhoofika kimuziki mana kaganda na eneo moja