Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

#kommpflege

Innerhalb der dreijährigen Ausbildung zur Pflegefachkraft erwerben Sie Kenntnisse und Kompetenzen in der Pflege von Menschen aller Altersgruppen. Als generalistisch ausgebildete Pflegefachkraft erwerben Sie einen europaweit anerkannten Berufsabschluss und können anschließend in allen Pflegebereichen Karriere machen.

Theorie …

Die Ausbildung zur Pflegefachkraft findet im Wechsel zwischen Theorie und Praxis statt. Die Pflegeschule der SBK befindet sich an unserem Standort in Köln-Riehl. Hier vermitteln Ihnen unsere engagierten Lehrer*innen in freundlicher Atmosphäre das nötige Wissen zu allen Aspekten der Pflege.

… und Praxis

Ihre Praxiseinsätze im Rahmen der Ausbildung zur Pflegefachkraft absolvieren Sie an unterschiedlichen SBK-Standorten und – beispielsweise für den Bereich der Kinderkrankenpflege – bei unseren Kooperationspartnern. Hier werden Sie selbst aktiv und setzen das Gelernte in die Praxis um. Begleitet von erfahrenen Anleiter*innen kümmern Sie sich um pflegebedürftige Menschen. Sie sind Teil eines Teams, sammeln wertvolle Erfahrungen und vertiefen so gleichzeitig das gelernte Wissen.

Ihre Ausbildung im Überblick

Ausbildungsdauer:

• 3 Jahre

Start unserer Ausbildungsgänge:

• zum 1. April
• zum 1. Oktober

Ausbildungsvergütung und Zusatzleistungen:

• Ausbildungsvergütung: 1. Jahr: circa 1.340 Euro pro Monat, 2. Jahr: circa 1.400 Euro pro Monat, 3. Jahr: circa 1.500 Euro pro Monat
• Kostenlose Dienstkleidung
• Gesundheitsfördernde Maßnahmen sowie attraktive Sportangebote
• Eine überwiegend arbeitgeberfinanzierte betriebliche Altersversorgung

Perspektive:

• 400 € Prämie bei erfolgreich abgeschlossener Ausbildung
• nach erfolgreicher Ausbildung sehr gute Berufsaussichten
• Übernahmegarantie bei positivem Ausbildungsverlauf
• gute Karrierechancen, z. B. als Wohnbereichsleitung, Hausleitung oder langfristig als Pflegedienstleitung, Pflegebereichsleitung
• Studium möglich, z. B. Pflegemanagement, Pflegewissenschaft oder Pflegepädagogik

Voraussetzungen:

• mittlerer Schulabschluss oder ein als gleichwertig anerkannter Abschluss (mindestens eine zehnjährige, allgemeine Schulausbildung)
• unter Voraussetzungen genügt auch ein Hauptschulabschluss Klasse 9 (entweder mit einer abgeschlossenen Helferausbildung in der Pflege oder eine sonstige erfolgreich abgeschlossene zweijährige Berufsausbildung)
• persönliche und gesundheitliche Eignung
• Deutschkenntnisse auf B2-Niveau
• Es wird empfohlen, vor der Ausbildung ein Praktikum oder eine Hospitation im Pflegebereich zu absolvieren. Gerne organisieren wir Ihnen diese in einem unserer Häuser.

Checkliste Bewerbungsunterlagen:

• Anschreiben
• Lebenslauf
• Kopie Schulabschlusszeugnis
• Bei ausländischen Schulabschlüssen ist die Anerkennung durch die Bezirksregierung dringend erforderlich (https://www.bezreg-koeln.nrw.de/brk...4/48/anerkennung/auslaendischeschulzeugnisse/)
• Ausbildungsförderung unter bestimmten Voraussetzungen möglich; Näheres auf Anfrage

Kontakt

Frau Mercan

Teamleiterin Talent Acquisition

T: 0221/7775 -1199

SBK Sozial-Betriebe-Köln gemeinnützige GmbH

Bolternsternstraße 16

50735 Köln
 
1753807854155.jpeg
 
wakala wa ukweli aje hapa nilipue wadogo zangu waende mbele waache kukaa kitaa
Nina uwezo wa kukupatia working permit, approval of accommodation na contract ya mwaka, pamoja na requirements zote muhim i mean documents. Western Europe, kupata visa hilo ni jukumu lako, hapo nisikudanganye. Ukiwa teyari nitafute
 
Mkuu nahitaji hii kitu pia.
 
Nikipata nafasi nitaandika hapa kidogo kwa urefu ili tusipotezeane mda na maswali yasiwe mengi, mwenye kutaka ku take risks atafanya na aisetaka atawacha.
Fanya hivyo Mkuu.

Binafsi nasubiri maelezo hayo ili tuanze mchakato.
 
Fanya hivyo Mkuu.

Binafsi nasubiri maelezo hayo ili tuanze mchakato.

Kupata Working Permit na Schengen Visa (Poland)
Maisha ni safari ya kuchukua risks. Wale walio tayari kuthubutu na kuwekeza kwenye mustakabali wao, basi huu ndio wakati na njia ya kuanza.
Ninatoa huduma ya kupata nyaraka halali na sahihi kwa ajili ya kufanikisha maombi ya Schengen visa ya kazi (Poland).
Nyaraka zinazotolewa ni:
Working permit (zezwolenie na pracę)
  • Mkataba wa kazi (employment contract)
  • Approval of accommodation (uthibitisho wa makazi)
  • Kumbuka: Kupata visa au kukosa hutegemea maandalizi yako na maamuzi ya ubalozi pamoja na mapenzi ya Mungu. Mimi nakuhakikishia nyaraka ni za kweli, halali na zenye uthibitisho. Sehemu inayobaki ni wewe kujitayarisha vizuri kwa mahojiano.
1. Muda wa Kupata Nyaraka
Upatikanaji wa nyaraka unaweza kuchukua kati ya miezi 2 – 7.
  • Hii inategemea kasi ya mfumo wa mamlaka za Poland, na si uamuzi wangu binafsi.
  • Mfano: Kuna mteja niliyeanza mchakato naye mwezi wa tatu, nyaraka zake zilitoka mwanzoni mwa mwezi huu.
  • Hivyo uvumilivu ni muhimu, maana uchelewaji hutokea mara kwa mara.
  • 2. Appointment ya Ubalozi wa Poland
  • Baada ya kupata nyaraka, hatua inayofuata ni maombi ya appointment kupitia tovuti ya ubalozi wa Poland (kwa Dar es Salaam).
Unajaza taarifa zako na kuingia kwenye mfumo wa draw.
  • Kupata nafasi hutegemea bahati na wakati. Unaweza kuitwa ndani ya miezi 2–3, lakini wengine husubiri hadi mwaka mzima.
  • Ikiwa permit yako itaisha muda wake (expire) kabla ya kuitwa kwenye interview, basi nafasi hiyo inapotea moja kwa moja.
  • Hii ni risk ambayo kila mtu lazima aielewe mapema.
3. Nyaraka za Ziada zinazohitajika Ubalozini
Mbal na nyaraka ninazokupatia, wewe binafsi unatakiwa kuandaa:

Pasipoti halali yenye muda wa angalau miezi 6 mbele.
  1. Fomu ya maombi ya visa (inajazwa mtandaoni kisha kuchapishwa).
  2. Picha za pasipoti (passport-size, background nyeupe, zinazokidhi viwango vya Schengen).
  3. Travel medical insurance: lazima iwe na bima ya angalau EUR 30,000, inayo-cover matibabu na kurejea nyumbani (repatriation) kwa muda wote wa visa.
  4. Malipo ya ada ya visa: kwa Poland ada ya Schengen work visa ni takriban 80 EUR (kwa watu wazima).
  5. Uthibitisho wa makazi (document niliyokupatia).
  6. Working permit + employment contract (kutoka kwangu).
  7. Nakala za tiketi za ndege (booking tu, sio lazima tiketi kamili).
Hii itakuongezea credit
i)cheti cha kuzaliwa
ii)cheti cha ndoa
iii)hati ya nyumba ama kiwanja
iv)cheti ama vyeti vya watoto vya kuzaliwa
Kama kuna kitu nimesahau tutaongezea mbele ya safari
4. Gharama
Gharama za Huduma:
Kiasi kamili: TZS 2,000,000
  • Awamu ya kwanza: TZS 700,000 (kwa kuanzisha mchakato)
  • Salio lote: kukamilishwa ndani ya miezi mitatu tangu kuanza mchakato.
  • Gharama Zingine Utakazojitegemea:
  • Ada ya visa: takriban EUR 80 (kulipwa ubalozini).
  1. Bima ya safari (travel medical insurance): kati ya EUR 30–50 kulingana na kampuni.
  2. Gharama za DHL au usafirishaji wa nyaraka original kutoka Poland hadi Tanzania.
  3. Gharama za safari ya kwenda ubalozini (Dar es Salaam au Nairobi).
  4. Gharama za tiketi ya ndege baada ya kupata visa.
5. Maelezo ya Mwisho (Important Notes)
Kupata visa ya kazi si rahisi, lakini ni jambo linalowezekana. Watu wamefanikiwa, na wewe pia unaweza kufanikisha ikiwa utazingatia maelekezo yote.
  • Mimi nafanya nyaraka za kazi pekee (sifanyi za wanafunzi au watalii).
  • Nchi pekee: Poland.
  • Ukishapata Schengen visa, unakuwa na mwanga na nafasi ya kuanzia. Baada ya hapo, unaweza kuamua uende Germany, Netherlands, France au nchi nyingine yoyote ndani ya Schengen Zone.
Taarifa zote ziko mitandaoni jipe muda wa kufanya research kabla hujafanya maamuzi ya kuja kwangu, hakikisha umejiridhisha na uko na taarifa kamili
 
Shukrani kwa maelezo makini, nitafanyia kazi kupata na kuelewa zaidi maelezo husika ndipo nirudi kwako na maamuzi ya kuendelea na huduma.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kuna kupigwa na watu wansosema wanawasaidia kuweni makini, taarifa zipo mtandaoni ni jukumu lako kuzitafuta.
 
Back
Top Bottom