KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
wataalamu wa saikolojia na magonjwA YA AKILI NDIO WANAOWEZA KUKUPATIA SULUHISHO LA KUDUMU
Mkuu huu ugonjwa una uhusiano gani na depression kiongozi coz nilishaenda kwa Dr.Ndosi akaniambia nna depression na mpaka sasa huwa mtu akinikwaza kidogo tu hata kwa jambo ambalo si la kukwazika huwa nabadilika kwa 100% mkuu kuna mahusiano yoyote kati magonjwa haya mawili kiongozi coz MIND yangu inahitaji tiba ya dhati kabisa kwa mana bado siko sawa hata kidogo mkuu,HELP PLEASE.