wataalamu wa saikolojia na magonjwA YA AKILI NDIO WANAOWEZA KUKUPATIA SULUHISHO LA KUDUMU
uhusiano upo. tena mkubwa sana. Waweza KUPIGA 0754836659 KWA MSAADAMkuu huu ugonjwa una uhusiano gani na depression kiongozi coz nilishaenda kwa Dr.Ndosi akaniambia nna depression na mpaka sasa huwa mtu akinikwaza kidogo tu hata kwa jambo ambalo si la kukwazika huwa nabadilika kwa 100% mkuu kuna mahusiano yoyote kati magonjwa haya mawili kiongozi coz MIND yangu inahitaji tiba ya dhati kabisa kwa mana bado siko sawa hata kidogo mkuu, HELP PLEASE.
tatizo lako ni social anxiety. Hutibika 100% bila dawa. Usiteseke, waone clinical psychologist utaponandg ww nami hatupishani mi niko udom hakuna cku czpendi km za presentation hata mtiririko wa mawazo hunitoka kabisa ninapocmama mbele za watu, hofu nyng na trembling ya hali ya juu mm c muumini wa waganga wa kienyeji lkn kwa hl lnaweza kunipeleka kwa hao jamaa,coz naweza kufanikiwa kumaliza chuo ila kupata kazi ndo itakuwa shughuli pevu, cdhan km nitahimili maswali ya kwny interview, c kwamba mi nikilaza niko njema tu drsn issue ni kutojiamini, tafadhali wataalam nisaidieni, kupiga ctor niko vzuri issue inapokuja ni pale utakapotakiwa kwenda mbele ya wenzako kupresent au kuhubiri.
uhusiano upo. tena mkubwa sana. Waweza KUPIGA 0754836659 KWA MSAADA