Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Hii biashara soko lake limejaa vijana walioharibikiwa akili na ufahamu.
Bajaji moja sasa si chini ya millioni 10 za Kitanzania.
Pikipiki moja sasa si chini ya millioni 3 za Kitanzania.
Utupe hiyo pesa eti kisa tu pesa utakuwa unaletewa nyumbani. Unawajua bodaboda wewe 😂😂😂
Itazame hii picha chini .Hii pikipiki si ya muda mwingi. Kijana wa hovyo ametoa taa, dashboard, kabinua nyuma ili akibena demu automatically demu amlalie mgongoni na kufunga kamziki cha singeli.
Baba mmoja kastaafu kanunua pikipiki 10 kwa mpigo kawapa vijana.
Namhurumia. Tawaletea mrejesho baada ya muda kama amewin au amelose.
Ila kimazingira tu naona amepoteza.