Kama una povu naleta nguo.

Kama una povu naleta nguo.

banned do

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2017
Posts
574
Reaction score
506
Nimehangaika wiki nzima sina hela ya sabuni sasa nimesikia huku JF kuna mapovu ya kutosha hasa kwenye lile jukwaa la siasa.Naombeni japo beseni mbili za povu mwenzenu nifue nguo zangu naaibika mimi.
 
huko kichwani kwako umeme umekatika ama?
mbona akili yako ina giza sana?
Umeme upo lakini nimeamua kuzima taa tu ili kupunguza jam ya kuchunguliwa na majirani.
 
povu hilo... Halafu mtafute Daby ana topic ya povu
 

Attachments

  • tapatalk_1492087126596.jpeg
    tapatalk_1492087126596.jpeg
    72.8 KB · Views: 460
Kuna watu wanatema povu halafu wananuka mdomo balaah...Hizo nguo sijui kama utarudia kuzivaa baada ya kutemewa mapovu na wanasiasa uchwara wa JF!
 
Back
Top Bottom