[emoji122][emoji122]Ni udhaifu Kwa wale wasioelewa, lkn kwa mwelewa anayetambua njia mbalimbali Za relief hawezi sema ni udhaifu.
Tena hapo atapata ahueni kwa kile anachokumbana nacho. It's better kuongea public kuliko kukaa kimya.
Haya na wewe kaweke matatizo yako kwenye status za whatsapp.Ni udhaifu Kwa wale wasioelewa, lkn kwa mwelewa anayetambua njia mbalimbali Za relief hawezi sema ni udhaifu.
Tena hapo atapata ahueni kwa kile anachokumbana nacho. It's better kuongea public kuliko kukaa kimya.
Ingawaje watu wengi wanadhani mapato ya Youtube yanatokana na idadi ya views lakini ukweli ni kwamba yanatokana na matangazo. Kwa mfano, ukifungua Youtube channel nadhani unakuta ile kitu inaandikwa "SKIP after 5 seconds...!" Yale ndo matangazo yanayomlipa mwenye channel.Mkuu milion 8.1 views kwa hapa bongo ni sawa kiasi gani tafadhali
Ingawaje watu wengi wanadhani mapato ya Youtube yanatokana na idadi ya views lakini ukweli ni kwamba yanatokana na matangazo. Kwa mfano, ukifungua Youtube channel nadhani unakuta ile kitu inaandikwa "SKIP after 5 seconds...!" Yale ndo matangazo yanayomlipa mwenye channel.
Na kiasi gani unapata kwenye hayo matangazo inategemea na some factors.
Hata hivyo, kadri unavyokuwa na view nyingi zaidi ndivyo unavyoongeza chance ya kupata pesa nyingi zaidi.
Nimekuomba Unifanyie calculation hizo 8.1 ml views ukikonveti ni sawa na kiasi gan?Ingawaje watu wengi wanadhani mapato ya Youtube yanatokana na idadi ya views lakini ukweli ni kwamba yanatokana na matangazo. Kwa mfano, ukifungua Youtube channel nadhani unakuta ile kitu inaandikwa "SKIP after 5 seconds...!" Yale ndo matangazo yanayomlipa mwenye channel.
Na kiasi gani unapata kwenye hayo matangazo inategemea na some factors.
Hata hivyo, kadri unavyokuwa na view nyingi zaidi ndivyo unavyoongeza chance ya kupata pesa nyingi zaidi.
aiseeee Amempigia cm lakini hampatiSiku hizi kumbe mpaka wafu wanapita humu Jf!? au mamaake alizikwa na smartphone!? kweli aslay alimzika mamaake kidigitali!
Huwezi kufanya calculation kwa sababu kuna factors zaidi ya moja za kuangalia.Nimekuomba uni
Nimekuomba Unifanyie calculation hizo 8.1 ml views ukikonveti ni sawa na kiasi gan?
Mmmhh!ukiwa mbaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Maneno ya kawaida sn hayo. Hata kma roho ingekuw ndogo kma mbegu ya mchicha SIWEZI KULIA...!!!
Hapo sasa. Swali la musingi wajameniHivi Aslay kafikisha 15 years kwenye muziki?