Kama una roho ndogo ukiisoma hii barua ya dogo Aslay lazima chozi lidondoke

Kama una roho ndogo ukiisoma hii barua ya dogo Aslay lazima chozi lidondoke

Muda huu ambao anatengeneza hela ndio muafaka kwake kuwekeza vizuri kwenye mambo ya msingi na sio kwenye papuchi.
 
Ni udhaifu Kwa wale wasioelewa, lkn kwa mwelewa anayetambua njia mbalimbali Za relief hawezi sema ni udhaifu.

Tena hapo atapata ahueni kwa kile anachokumbana nacho. It's better kuongea public kuliko kukaa kimya.
[emoji122][emoji122]
 
Haya na wewe kaweke matatizo yako kwenye status za whatsapp.

Kuweka privacy zako kwenye mitandao ni udhaifu mkubwa sana
 
Maneno ya kawaida sn hayo. Hata kma roho ingekuw ndogo kma mbegu ya mchicha SIWEZI KULIA...!!!
 
Mkuu milion 8.1 views kwa hapa bongo ni sawa kiasi gani tafadhali
Ingawaje watu wengi wanadhani mapato ya Youtube yanatokana na idadi ya views lakini ukweli ni kwamba yanatokana na matangazo. Kwa mfano, ukifungua Youtube channel nadhani unakuta ile kitu inaandikwa "SKIP after 5 seconds...!" Yale ndo matangazo yanayomlipa mwenye channel.

Na kiasi gani unapata kwenye hayo matangazo inategemea na some factors.

Hata hivyo, kadri unavyokuwa na view nyingi zaidi ndivyo unavyoongeza chance ya kupata pesa nyingi zaidi.
 
Nimekuomba uni

Nimekuomba Unifanyie calculation hizo 8.1 ml views ukikonveti ni sawa na kiasi gan?
 
Nimekuomba uni
Nimekuomba Unifanyie calculation hizo 8.1 ml views ukikonveti ni sawa na kiasi gan?
Huwezi kufanya calculation kwa sababu kuna factors zaidi ya moja za kuangalia.

Kwa mfano, pesa utakayopata kwa mtu alie-view tangazo la iPhone X kutokea Tanzania ni tofauti na pesa utakayopata kwa tangazo lile lile ikiwa linaangaliwa na mtu aliye UK.

Aidha, matangazo yenyewe yana thamani tofauti. Kwa mfano malipo utakayopata kwa mtu ku-view tangazo la iPhone X kwa sekunde 30 inaweza kuwa tofauti na pesa utakayopata kwa mtu yule yule kutokea PC ile ile na location ile ile lakini ana-view tangazo la Tecno.

So, there's no exact maths itakayokupa jibu la anaweza kuingiza kiasi gani!!!
 
Mmmhh!ukiwa mbaya

Amshukur Mungu anaendesha hata bmw kuna wakiwa hata pa kulala hamna mateso mwanzo mwisho kwa walioachiwa kuwatunza maisha ni safar pia naona hata umri wake bado anataman kulialia.
 
Huyu Dogo mjinga.....kubadili na kuzalisha hovyohovyo wasichana itamkost...

Mama yake anamliza kwa umalaya wake..
 
Aslay mwache mama apumzike.... Piga kazi, kila la Mungu lina maana na sababu yake. Kuna watu mama zao wapo hai ila kila siku ni vibeni ten ndani.... Ungeyaweza hayo??? Muombee mama dua njema, ysimwajibishe.
 
Comparison is the thief of joy,awe mwenyewe tu he’s doing great kwenye mziki mbona
 
Huyo Dogo sasa na Yeye ifike muda awe ' matured ' kwani kila mara tu ni Mama...Mama....Mama...Mama. Kuna wenzake wengi tu ambao Mama zao waliwaacha tena wakiwa Wachanga kabisa ila walijikaza moyo, wakapambana na sasa wapo vyema Kimaisha na hawalii au hawalalamiki kama Yeye. Inaboa sasa kwani kila mara tu akiwa anahojiwa Yeye ni Mama tu utadhani hakuna Mtu anayejua kuwa hana Mama. Angeyafanya haya Mtoto wa Kike kidogo ningeelewa ila kinachonisikitisha kama hata siyo kunishangaza ni kwamba anayefanya ni Kidume kabisa.

Najua kabisa kwamba kufiwa na Mzazi tena Mama kunauma ila inatupasa kujikaza, kupambana na kuacha maisha yaende kwani hakuna ambaye ana hatimiliki ya kuishi milele hapa duniani na nature ya Binadamu hivyo ndivyo ilivyo kwamba kuna siku tutakufa na kuanza maisha mapya na kuwaache wengine wakiwasili katika hii dunia. Aslay apunguze Kujihurumia na Kusikitika kila mara kuhusu Kufiwa na Mama yake na sote tunampa pole ila sasa let him focus katika Kazi ambayo naamini kwa Kipaji chake Kikubwa atapata mafanikio makubwa ambayo bila shaka yatamfariji wakati Mama yake hayupo.
 
Back
Top Bottom