Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mleta mada kwa hizo sifa za mwanamke labda uwe na utajiri dizaini ya Aliko Dangote.
Lakini utakuta mleta mada anatumia tekno au itel amejipinda kuandika kurasa kadhaa kutafuta binti wa kumla Mbususu.
Toka hadharani useme net Worth yako ni ngapi?
Sio vigezo kibao wakati unaishi room moja au mbili za kupanga huyo binti mwenye sifa hizo hutoweza kumtunza.