Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Mleta mada kwa hizo sifa za mwanamke labda uwe na utajiri dizaini ya Aliko Dangote.
Lakini utakuta mleta mada anatumia tekno au itel amejipinda kuandika kurasa kadhaa kutafuta binti wa kumla Mbususu.
Toka hadharani useme net Worth yako ni ngapi?
Sio vigezo kibao wakati unaishi room moja au mbili za kupanga huyo binti mwenye sifa hizo hutoweza kumtunza.
Huu uzi unatakiwa uunganishwe na ule wa vituko mtandaoni [emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]nimeanza kuona ujinga kuanzia points no 5
Kumtunza tena wakati amesema hataki mtu wa kuhudumiwa[emoji16]Mleta mada kwa hizo sifa za mwanamke labda uwe na utajiri dizaini ya Aliko Dangote.
Lakini utakuta mleta mada anatumia tekno au itel amejipinda kuandika kurasa kadhaa kutafuta binti wa kumla Mbususu.
Toka hadharani useme net Worth yako ni ngapi?
Sio vigezo kibao wakati unaishi room moja au mbili za kupanga huyo binti mwenye sifa hizo hutoweza kumtunza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huu uzi unatakiwa uunganishwe na ule wa vituko mtandaoni [emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣🤣Inachekesha sana jamanmiguu isiwe mirefu kiivyo
Kumtunza tena wakati amesema hataki mtu wa kuhudumiwa[emoji16]
Achana naye huyo hajui anataka nn, njoo kwangu nina "focus" nzuri ya maishaUKIMPATA BASI HUYO ATAKUWA JINI!
wakati nasoma mwanzo nkaanza kusema ni mimi lakini kila nikizidi kushuka sifa zikajishusha moja moja mpaka zote nimekosa!
Aisee [emoji848][emoji848]Kawafuate Instagram, huku sio sehemu yake, JF Dadas wana akili huwapati kwa style hii.