Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

*_Lakini Nuhu aliamua tu kutusababishia Malaria ule mda Mbu zilikuwa mbili ndani ya safina si angeziua_*

[emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75][emoji75]
 
*_Lakini Nuhu aliamua tu kutusababishia Malaria ule mda Mbu zilikuwa mbili ndani ya safina si angeziua_*
Aiseee! Ni kweli kabisa sijui kwanini alifanya uzembe hv[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
 
Mzee alienda kanisani kubatizwa alipotoka kwenye maji padri akamwambia “Sasa wewe ni kiumbe kipya,usinywe tena pombe na utaitwa Paul”. Alipofika nyumbani Paul akafungua friji akatoa bia ya Tusker akaitumbukiza kwenye maji akasema “Wewe ni kiumbe kipya toka sasa jina lako ni Fanta Orange”

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasema fitina titi la paka halifai kwa mtindi.
Je hili[emoji116] [emoji116] linafaa au halifai??
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Palikuwa na ufungishwaji wa ndoa kanisani kikafika kipengere cha bibi harusi kuulizwa kama pana mtu wa kupinga ndoa ile isifungwe na bibi harusi alikuwa mwingi wa khabari basi padri kasema mara ya kwanza kimya! mara ya pili kimya! anataka kusema mara ya tatu kanisa lote kimya kimetawala mara padri anamuona mzee mmoja na mkongojo wake anakuja mbele taratibu bibi harusi kuona hivyo akaanguka na kupoteza fahamu ikabidi wamtoe nje wakampepe sasa padri anamuuliza yule mzee "ehhe mzee una pingamizi lolote? mzee hapana
Padri :sasa mbona umekuja huku mbele?
Mzee :nina matatizo ya kusikia sasa kule nyuma nilikuwa sisikii vizuri ibada hii ikabidi nije mbele ili nisikie vizuri unavyofungisha ndoa.
 
Nimekuta njemba mbili zinazozana mmoja anamwambia mwenzie kama yeye mwanaume kweli avuke mstari aliouchora yule jamaa lahaula yule jamaa wala hajajitingisha namuona kavua suruali na kuonyesha MPINI umesimama nikawa najiuliza watanzania wengi tunafeli mitihani kwa kutokuelewa maswali.
 
STORY ZA WASICHANA KATIKA SIMU.

Mary: Hallow mpenzi.

Lily: Niambie my dear.

Mary: Pouwaa za siku jamani.

Lily: Nzuri rafiki Yangu wa damu.

Mary: Jioni nakuja kwako tule na kunywa japo wine wangu.

Lily: Nakusubiri kwa hamuu mpenzi.

BAADA YA KUKATA SIMU KILA MMOJA ANAWAZA.

Lily: Huyu mchawi wa kike Leo anataka kuja kwangu wala hanikuti.

Mary: Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu kahaba eti nakusubiri Kwa hamuu nani aende!

STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU.

John: Niaje we mbwaa.

Sam: Pouwa kichaa wanguu.

John: Upo wap mpumbavu wewe.

Sam: Niko home, we fala Uko wapi?

John: Baadae nakuibukia jambazi, langu tukale bata
Sawa…
Sam: Pouwaa we kichwa maji nakusubiri.

BAADA YA KUKATA SIMU KILA MMOJA ANAWAZA.

John: Dah baadae nikakae na mwanangu Sam sijamuona long time.

Sam: John bwana akiwa na pesa lazima anitafute mwanae.

FUNZO: Baadhi ya Wasichana hujifanya wanapendana kwa
maneno lakini ni Kwa nje tu!

WAVULANA unaweza Kudhani
hawapendani kwa maneno lakini WANAPENDANA.
 
mbwembwe hazijawah kumwacha binadam yeyote bila fundisho [emoji12] [emoji12]
 
Mambo vipi? unajua wewe unajitafutia matatizo bure unapoongea maneno uwe unafikiria sio unajilopokea ovyo utakuja kunitafutia matatizo bure ndugu maneno uliyoongea nimeyapata na sijapenda kiukweli,mi nakuheshimu sana na tangu tumejuana sijawahi kukosana na wewe hata siku moja kama huna vitu vya kuongea uwe unakaa kimya, kuliko ulivyofanya,sio vizuri.Ni nani amekutuma umwambie Rais Magufuli eti mimi nafaa kuwa mkuu wa mkoa?
Akili yangu naijua mwenyewe ina matatizo ya problem[emoji1321]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…