Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Huko kunako bara jesui Chuo Cha uundaji na Urushaji wa ndege kilifanya sherehe za kuundwa kwa ndege yao ya Kwanza.

Waalikwa walikuwa maprofesa ambao ndio wapishi was vijana waliounda ndege.

Baada ya kujazwa ndegeni wakapewa taarifa kuwa ndege hii imeundwa kww 100% na wanafunzi wa hapo chuoni.

Vurumai lilianza pale walipoambiwa wawe tayari Muda wowote goma linapaa.

Kuna jopo lilitaka kuvunjana meno likijua kuwa vichwa wanavyovofunza mbungi kichwani hamna.

Ajabu mzee mmoja Alikuwa kachill kimyaaa Kama haoni vile .

Alipoulizwa vipi mbona hukimbilii mlangoni ?
Akajibu nawajua waundaji na akili zao hili goma haliwezi kutembea itakuwa kupaa.


Maprofesa huko vyuoni acheni kupika Hamna.
 
Back
Top Bottom