Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hivi ukiwa na wake mia ndo unakua mkemia mkuu etiii.......... [emoji377][emoji377]
 
MAISHA NA VITUKO !!
Jana nilikuwa pale 5 Brothers Barbershop, akaingia jamaa na mtoto.

Jamaa akanyolewa nywele , akaomba na mtoto anyolewe pia, Mtoto alipoanza kunyolewa jamaa akaaga kwamba anaenda kumchekia dogo viatu dukani.
masaa matatu yakapita.

Vinyozi wakamuiliza dogo "Baba yako amekusahau nini?" Dogo akasema "Yule sio baba yangu, nilikuwa napita hapo nje, akanishika mkono na kuniambia TWENDE PALE TUKANYOLEWE BURE!!!![emoji1321]
 
Hako katoto kanafanana kweli na Freyzem[emoji1321]
Jaman jaman, nafanana na mtoto wa emoj kweli mimi...Mungu anakuona![emoji23][emoji23]
Halafu sasa aliyempa huyo emoj mimba ni nani...nahisi alibubakari anahusika kwa namna flani na huo uonevu...mahari alichukua nani?
Numbisa hilo la mahari linakuhusu, nimetonywa wewe ndiye bib wa mtoto wa huyo emoj...[emoji28] [emoji28]
 

[emoji3]kweli hata kupinduka na cherehani ni ajali[emoji3]
 
Hawa machizi wamezidi sasa

kichekesho:

"Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani. Chizi wa kwanza akasema:ndege ile itakua imembeba raisi. Chizi mwenzie akajibu:hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbele…

dah! balaaa!"
[emoji3][emoji3]
 
Hakuna watumishi wa serikali wenye dharau kama Manesi wa dispensary za vijijini............ mtu umeshusha suruali ili akuchome sindano halafu anakuuliza

*HAYA MATAKO ULIPAKA MAFUTA MARA YA MWISHO LINI*

[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…