Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

WALLAHI CTAWAHI KUDANGANYA TENA

Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake phone
"Hello Mr. Supervisor,nitachalewa kidogo coz kuna mahali nitapitia, so nipelekee tu hyo Ferrari yangu nyumbani"
Nikaona mrembo ameniangalia kwa macho ya husda apo nkajua nimeuwa ndege kwa jiwe moja, nkaamua kujikosha mtt wa kiume , "niaje mrembo", akanikazia macho kisha akaniambia,
"Shika battery yako uliangusha ukitoa simu"

Icho kicheko watu walicheka hujawahi ona jooo adi ikabidi dereva aegeshe gari watu wacheke kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikaona isiwe tabu nikashukia pale pale[emoji124][emoji124][emoji124]

Tujifunze kusema ukweli kwani uongo sio mzuri hata kwa Mungu... [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
....mlevi mmoja alikuwa anakula ugali na samaki mida ya usiku, Mkewe akamwambia "Mume wangu angalia miba isije ikakuchoma, Mlevi Lakini "Usijali mke wangu nimevaa viatu....[emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hahahahahah!!!..
 
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
MWANDISHI:Habari yako mzee, kwani Ng'ombe wako huwa unawalisha nini?
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia,? Mweupe au mweusi?
MWANDISHI:Mweupe.
MZEE:Huyo namlisha majani.
MWANDISHI:Na mweusi!!!?
MZEE:Namlisha majani pia.
MWANDISHI:Umeanza kufuga lini hawa Ng'ombe wako?
MZEE:Ng'ombe yupi unamuulizia? Mweupe au mweusi?
MWANDISHI: Mweupe.
MZEE:Huyo nimeanza mwaka jana.
MWANDISHI:Na Mweusi!!!?
MZEE:Mwakajana pia.
MWANDISHI:Hivi Ng'ombe wako huwa wanalala wapi?
MZEE:Ng'ombe yupi mweupe au mweusi?
MWANDISHI:Mweupe.
MZEE:Analala hapo kwenye boma.
MWANDISHI:Na mweusi analala wapi!!?
MZEE:Analala kwenye boma pia.
MWANDISHI:Kwanini nikikuuliza kuhusu Ng'ombe wako naww unaniuliza mweupe au mweusi alafu unatoa majibu sawa????
MZEE:Kwasababu Ng'ombe mweupe ndo wakwangu.
MWANDISHI:Enhe! Na huyo mweusi ni wanani??
MZEE:Ni wangu pia.
 
siku moja Baba aliniagiza mchele sokoni, kilo moja,, kwa tamaa zangu nikanunuua nusu,, hela iliyobaki nikala big g,, nikijidanganya kuwa nimewini,,, nilipofika hm walipopika sikushiba,,, majuto ni mjukuu
 
noma sana
 
Do kanisani raha, jumaapili iliyopita mimi na mweye nyumba wangu tulihudhuria ibada kanisani, basi wakati ibada inaendelea mchungaji akasema mwambie jirani yako Yesu amenilipia deni langu lote, Basi mi kwakua baba mwenye nyumba alikua ananidai kodi nikamgeukia na kumwambia kwa nguvu 'yesu amenilipia deni langu lote' Baba mwenye nyumba aka amka amechukia akatoka nje sijue ameenda kuniandikia mkataba mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…