.............................short story(funny/sad).................................
kuna kijana aliiba ma milioni ya pesa na ku kimbia nazo baada ya watu kumuona wakaanza kumfukuzia na yeye alipo lijua hilo akawa anakimbia sehemu ambayo anaweza kupa msaada wa maficho. Baada ya kukimbia kwa mda mrefu na hawa wanao mfukuzia hawa oneshi hali ya kukata tamaa alifika sehemu moja kuna mzee anatengeneza majeneza aka ongeanae yule mzee haraka haraka ili apata maficho na yule mzee aka mkubalia aka mficha kwenye jeneza lenye flow mbili yani maiti zinaingia mbili kwenye jeneza moja juu na chini kwa makubaliano kwamba watu wakija wakitaka jeneza atawapa lile alilopo yule mwizi wetu ili waweke maiti yao kwenye flow ya juu bila wao kujua chini kuna mtu au kuna flow nyingine ya jeneza alafu wakisha zika yule mzee atakuja kumfukua aka mpa na mtungi mdogo wa hewa na jamaa aka kubali. Ghafla baada ya mda kupita jamaa akasikiawatu wanachgua jeneza na wakalichukua lile ambalo yeye alikuandani. Mda sio mrefu akasikia kama kuna mwili unawekwa kwenye flow ya juu bas akajua mabo jamekaribia kuiva na ikaenda kama walivyo panga na yule mzee tena akasikia kabisa anavyo fukiwa akiwa katika lile jeneza na watu wakaondoka sasa baada ya mda kupita hasikii dalili ya msaada ihkabidi apindue yule maiti halali wajuu aje chini na yeye aende upande wajuu chakushangaza baada ya kupindua ile flow aka kuta ile maiti ndio ya yule mzee alie sema atakuja kumtoa, jamaa alichoka....................imagine unge kua wewe ungefanyaje????.............