Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

WASICHANA WEMBAMBA WAKIVAA MAGAUNI MEKUNDU SIKU YA VALLENTINE WANAKUWA KAMA PILIPILI KICHAA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na ukitaka kucheka siku ya Valentine, subiri uone wasichana wanene waliovaa nguo nyekundu, huwa kama vibanda vya M pesa...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na ukitaka kucheka siku ya Valentine, subiri uone wasichana wanene waliovaa nguo nyekundu, huwa kama vibanda vya M pesa...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nasikia wakaka warefu wakivaa jeans za kubana na buti za timberland then wakitembea wanakuwa kama Twiga anavuka barabara [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kweli???
 
Jamani tuwe makini na Bodaboda .... Jana nimechukua bodaboda nilipofika nikashuka na kumlipa nimeondoka tu jamaa akaanza kunifuata nyuma nikaingia uchochoroni ile nageuka ...huyu hapa nyuma ! Nikakimbia nashangaa eti nae anakimbia na mimi, nimechoka nikabidi nisimame namuuliza vipi mbona unanifuata!? ,,,,,akanivua Helmet yake akaondoka

Maisha yanatuvuruga[emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23] [emoji23]
 
WATU WOTE HUMU JF HASA JUKWAA HILI

WOTE WAPUMBAVU HADI MODS!

IVI MTU AKITOKEA AKISEMA IVYO TUTAMFANYAJE?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Broo kwanza utambue kwamba huu uzi tumeutoa mbali saaaaaanaa bro[emoji3]
La pili ufahamu kuwa mimi nayajuwa maumivu yakifungoni hukoo(bann)nimetoka ivi karibuni tu,
Kisa cha kufungwa ni ukweli ndio ulio niponza sasa haina haja bana tuharibu jina letu
Tumekula baskeli nzima kasoro kengele tu[emoji1321]
 
Freyzem hili jukwaa letu bana sio la wambea wala la kusutana wala sio la ushindani[emoji3]
Tufate maadili yetu tu yakama unastress pitia hapa,
Kwa mfano ukiulizwa wewe KE au ME ukajibu BE kuna tatizo au[emoji1321]
 
WATU WOTE HUMU JF HASA JUKWAA HILI

WOTE WAPUMBAVU HADI MODS!

IVI MTU AKITOKEA AKISEMA IVYO TUTAMFANYAJE?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aseee nimecheka *****[emoji3][emoji3][emoji38][emoji23]
Frey wewe unaonekana unamatatizo ya problem[emoji23][emoji2][emoji1]kila nikitafakari nacheka tu[emoji28][emoji1]
 
Kweli mkuu...
[emoji23][emoji23][emoji23] si unajua tena lager za usiku!!
Ban inauma kinoma[emoji23]
 
Freyzem hili jukwaa letu bana sio la wambea wala la kusutana wala sio la ushindani[emoji3]
Tufate maadili yetu tu yakama unastress pitia hapa,
Kwa mfano ukiulizwa wewe KE au ME ukajibu BE kuna tatizo au[emoji1321]
[emoji23][emoji23]hapa no shilawadu mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…