Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

daah umenikoshaa sanaaa, "wanapouza ma shat!!!"
 
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.20,000/=.
Wakati nipo natafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.10,000/="
Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.20,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA

hapo nikawa nimewazidi ujanja😁😁
 
Heeeeeeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] qmamakyeeeeh
 
Girlfriend-Looh! Mwanaume gani wewe?unaazima hadi jaket kwa rafiki yako?
Boyfriend- Afadhali yangu mie,kuliko wewe umeazima hizo rasta(nywele)za marehem rafiki yako[emoji3]
Wanawake ni noma[emoji3]wanaazimana nywele hadi na maiti[emoji3]
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseee jobu tru tru
 
*Ukiona Mkeo anakushukuru sanaaaaa kupitiliza unapolipa ada za watoto wako......kapime DNA*![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*Dadaangu ukiona mwanaume kakupenda na huna tako ujue kajitoa muhanga mng'ang'anie huyo*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ata uwe bilionea vip afu huna nguvu za kiume

Bado utawekwa kwenye kundi la wasio jiweza tu[emoji851][emoji851][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…