Kuna jamaa alipata matatizo kazini kwake ikafika hadi kutishiwa kufukuzwa kazi na bosi wake.... _Basi jamaa akampigia mama yake simu akawa anamuelezea yaliyomkuta,, mama akasikitika sana na akawa anamuwazia sana mwanae kwani alimpenda sana..._ _Jioni jamaa akapigiwa simu na baba yake akimuuliza kama amemwambia mkewe matatizo yake,_ _Jamaa akamjibu; "hapana baba sikumwelezea, si unajua tena mambo ya wanawake!!?" Baba ake akamuuliza,, _sasa kama umeshindwa kumwambia mkeo kwanini umemwambia mke wangu hadi saivi hana amani???π‘π‘π‘π‘π‘π‘ππππππππππ