Teh teh teh teh teh[emoji317]Ikijibana kucheka
Bado kfgo nhambeeeeee aiseeeeh
Kwakwakwakwa
[emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Bangi acha ipigwe marufuku...!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa walikuwa wamekaa jumba bovu wanavuta bangi wakaishiwa kiberiti,
Si ndipo wakamtuma
mwenzao akaombe popote. Jamaa akazungukaaaaa weee..!!
Akatokea pale pale walipo wenzie..
akawambia, "...masela naombeni kiberiti". Kwa kuwa jamaa nao walikuwa wamekolea kisawasawa wakamjibu,,
"...Tumemtuma mshikaji, kaa hapa tumsubiri". Jamaa nae Si akakaa kusubiri kiberiti...!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Walisubiri, Wakasubiri, Wakasubiri... na
Wakasubiriiiii weee..!!! mpaka Saivi nimewaaacha wanasubiri tu..!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mkurya kapewa uji wa moto nyumbani kwake, kaunywa kwa haraka ili awahi kazini kaungua mdomo. Kufika kazini akaulizwa, "imekuwaje ukaungua mdomo?"
Akajibu "mama Bhoke kanipa uchi wa moto"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio mimi, tatizo lafudhi
Hahahahaaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1]Mkurya kapewa uji wa moto nyumbani kwake, kaunywa kwa haraka ili awahi kazini kaungua mdomo. Kufika kazini akaulizwa, "imekuwaje ukaungua mdomo?"
Akajibu "mama Bhoke kanipa uchi wa moto"[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio mimi, tatizo lafudhi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ninakama miez miwil hv sijawah kufagia ghetto
wala kufua shuka bi mkubwa kanisema mpaka
kachoka, jana nipo zangu kitaan nikakuta cm
yangu inaita namba ngen kupokea nasikia sauti
tamu ya mtoto wakike kuuliza nan ananiambia
neema jiran yetu akaniambia Leo anatakakuja
ghetto kusoma nikafurah balaa. Leo nimeamka
nikapiga deki nikafua mashuka nikatoa mauchafu
hadi juu ya bati daaa mother ananicheka kinoma
huku anasema mtoto neema kanipatia na uchafu
wangu hapa nimempigia cm neema namuuliza
kama anakuja ananiambia nimkome alitumwa na
mama yangu tu ili nifue mashuka na kufanya
usafi ghetto eti nimezid uchafu.Hivi nnavyo kuwambia narudisha uchafu wote ndani! Sipendagi ujunga mimi [emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji1]Mlevi mmoja alilewa sana hadi kushindwa kurudi nyumbani kwake hivyo akalala jalalani, chizi alikwenda jalalani na kupekua pekua taka taka, bahati mbaya akamshika matako mlevi, mlevi akatikisika, chizi akaanza kujisemea "Watanzania bwana watu wa ajabu sana, matako mazima wameyatupa"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] chizi bwana
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]MUGABE NAE KWA MAJIBU ANATISHA
SWALI:Kwanini wanasiasa wala rushwa hawaendi jela ?
MUGABE! Hii ni sawa na mbu anayeng'ata kwenye pumbu hawezi kupigwa kofi zito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23]Kuna kale kawivu watz tunako umeme ukikatika kwako lazma utoke nje kuangalia kama kwa jirani upo......hivi ni kwanini lakini? ππ±π‘
sijaelewa hii embu nifafanulie.Jamaa yuko na demu wake na maongezi yalikuwa:
Jamaa: Babe!
Demu: Yes honey what is it?
Jamaa: whisper to me something sweet!
Demu: Glucose!
....Watu hawatakaji ujinga...
Atakuwa hapo kwenye Div - VSHULE ALIYOKUWA AKISOMA MDOGO WANGU MATOKEO YAPO HIVI
Div I =0
Div II=0
Div III=0
Div IV=0
Div 0= 96
Matokeo ya mdogo wangu bado sijayacheki
NAOMBEA AWE AMEFAULU TUU.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
sijaelewa hii embu nifafanulie.