Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Toobaaaa!
 
Mzee Wa Miaka 60 Alimwambia Mkewe,"leo Nataka Tukumbukie Enzi Zetu,kutongozana".Mke Akajibu Sawa,inabidi Ukanisubiri Mwembeni Saa Moja Usiku Nitapita".Mzee Akafika Saa 1 Usiku,akakaa Wee Hadi Sa 5 Usiku..Aliporud Nyumban Akamuuliza Mkewe Kwa Hasira,"sasa Tumepanga Nin Halafu Hujatokea?"mke Akajbu,"leo Mama Kanikataza Nisitoke Nyumban Usiku,nijisomee!"...
 
Kwenye boti kuelekea Zenji mzee mmoja alikaa na mwanawe karibu bahati mbaya ukavuma upepo mkali mzee ilibidi ashikilie kofia yake isipeperushwe na upepo huku msuli aliovaa pia ukipeperushwa na upepo, maongezi yalikuwa hivi;

Mtoto: Baba umekaa uchi msuli unapeperushwa ba upepo

Baba:Wacha nishikilie kofia isipeperushwe

Mtoto: Sasa baba mbona unashikilia kofia badala ya msuli wakati unakaa uchi?

Baba: Ah! Huo msuli hata ukichukuliwa na upepo sawa, mapu.mbu ninayo miaka 60 sasa ila kofia yangu mpya, maana nimenunua jana tu!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Tunapowaagiza watoto wetu madukani 2wapatie hata kimemo..

Dogo kaja shop ametoa buku mbili namuuliza unataka nini anasema nataka sigara
namuuliza sigara gani anajibu zozote..

nimeamua kumpatia mseto wa Sigara nyota,Sports,SM,na Embassy...

Najua atarud na babaake mda sio mrefu
 
Na Baba zao mmoja yupo Keko, wa pili Ukonga na wa tatu Segadance (Segerea).
 
Aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…