Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

Du!!!!!
 
Taarifa Zinazozagaa Mitandaon eti nmeteuliwa kuchukua nafasi ya Prof. Sospeter Muhongo naomba mzipuuze kwani hazina ukwel wowote na zina lengo la kuupotosha umma, miye nipo darasani najisomea......[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Kweli ishu ya unga haimwachi mtu salama
 
Nimetokea kuiogopa pombe baada ya kumwona jirani yangu akicheza muziki kwa sauti ya jenereta langu, akidhani yuko club.....nkamsikia anasema "wee dj noomaaaa"
Baada ya kuzima jenereta akaniuliza uo mziki kaimba nan?
Nilivyokuwa na roho mbaya Nikamwambia iyo ni collabo ya Yamaha na Petrol

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Demu wangu alinipigia simu
"Baby, sioni siku zangu."

Nikamjibu..
"Na wewe umezidi kuacha mlango wazi, sasa unadhani nani atakua kazichukua.!? Kafungue jalada polisi.."

Amini amini nakuambia hii ni wiki ya 3 hapokei simu wala hajibu meseji, nadhani bado atakua 'sentro' anatoa maelezo..!!
 
Napenda mavazi ya kiutamaduni kama haya, hivi Kariakoo hawauzi?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125]
Nataka niwe navaa[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Utayavalia wapi haya?hayana maadili kabisa,ona liabdala lilikowekwa.
 
Utayavalia wapi haya?hayana maadili kabisa,ona liabdala lilikowekwa.
Hayana maafili wakati ndio mavazi ya kiutamaduni[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
Wanasayansi wanasema ni hatari kuweka mayai karibu na viazi, unajua nini kitatokea?

Jibu ni chipsi mayai[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Hayana maafili wakati ndio mavazi ya kiutamaduni[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
Kwao sawa,huku kwetu utaishia MIREMBE TU[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…