Kama Una SUV Manual nzuri kv Suzuki Escudo au Vitara nipe, nikupe Crown namba 'E'

Ipo lakini najifikiria kwanza, nilipohamia ni shamba, gari ya chini haifai.

Hiyo uza tu mzee uongeze uchukue kitu nyeepe.
Nishawapa jamaa wa Mlimani city wasaidie wateja ila option ya kipaumbele ni kuswap maana manual adimu mtaani
 
Mimi nina guta pm 54 manual
 
Attachments

  • images (5).jpeg
    13.1 KB · Views: 16
Nishawapa jamaa wa Mlimani city wasaidie wateja ila option ya kipaumbele ni kuswap maana manual adimu mtaani
Kwa nini una opt manual box ??, manual ni adimu kwa sababu huko ulimwenguni zinakuwa phased out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…