Kama Una SUV Manual nzuri kv Suzuki Escudo au Vitara nipe, nikupe Crown namba 'E'

Kama Una SUV Manual nzuri kv Suzuki Escudo au Vitara nipe, nikupe Crown namba 'E'

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Tafadhali. Kama unayo Manual Transmission SUV tubadilishane na hii Crown Royal namba 'E' yako iwe alau namba D na hali nzuri. Mine ni full document very fine. Tuchekiane DM.

Chuma iko vizuri mno.

20230406_183526.jpg
 
Ipo lakini najifikiria kwanza, nilipohamia ni shamba, gari ya chini haifai.

Hiyo uza tu mzee uongeze uchukue kitu nyeepe.
Nishawapa jamaa wa Mlimani city wasaidie wateja ila option ya kipaumbele ni kuswap maana manual adimu mtaani
 
Mimi nina guta pm 54 manual
 
Attachments

  • images (5).jpeg
    images (5).jpeg
    13.1 KB · Views: 16
Nishawapa jamaa wa Mlimani city wasaidie wateja ila option ya kipaumbele ni kuswap maana manual adimu mtaani
Kwa nini una opt manual box ??, manual ni adimu kwa sababu huko ulimwenguni zinakuwa phased out.
 
Back
Top Bottom