Kama unaamini hivi vitu basi ujue una upungufu wa akili

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Haijalishi umesoma ama hujasoma ila kama unaamini hivi vitu ujue una mapungufu makubwa ya akili.

1. Uchawi, kama unaamini uchawi upo basi jua huna akili. Uchawi ni mambo ya kufikirika tu hayana uhalisia wowote.

Karne hii ya 21 bado mtu watu wanaamini upumbavu wa kwamba uchawi upo kweli?

Kama kuna mchawi humu ama unamjua mchawi yoyote basi mwambie naomba aniloge.

2.

Mada inaendelea.
 
Uchawi upo na ata vitabu vitakatifu vina usimulia. Majini ni Wale Malaika waliofukunzwa na Mungu baada ya kuhasi.Hawa ndo wanaosumbuwa Watu wakishirikiana na Binadamu wasiopenda wenzao(Wachawi na Wanga) Unachotakiwa ni kuwa na imani na Mungu wako na sio kuhamini matunguli
 
Uchawi upo ila usiuamini sana...
View attachment 2415724View attachment 2415725
 
Kuuamini uchawi kwa maana ya kuutegemea hapo sina comment ila kuamini kwamba uchawi una exist, ni suala la muda tu kuja kuamini.
 
Inawezekana hata umeandika hapa Kwa kuwa umerogwa mtu mwenye akili timamu hawezi andika huu ugoro
Ha ha ha ha

Nimesoma harakaharaka nikataka nijione mwenye akili

Kumbe nipo miongoni mwa wasio na akili, kwa kwa kwa kwa

Hata kwenye biblia imekubali kuna uchawi sasa mimi ni nani nipinge?
 
Sasa kumbe wewe ndo hauna akili. Au niseme akili yako haina akili au niseme unaaakili lakini matumizi yako ya akili hayana akili.


Haijalishi kuamini au kutokuamini kwenye uchawi ama la. Lakini uchawi upo, wanga wapo na majini yapo.

Amjni usiiamini[emoji23]
 
Alafu wachawi wanapenda kusumbua watu wanaoamini mambo yao, ukiamini uchawi sana basi hata mambo yako yakienda kombo akili yako lazima iwaze vitu vikuu VIWILI, Umerogwa/kuna mtu anakuchezea, wazo la pili utataka kwenda kwa mtaalamu wa mambo ya giza ukajue nani anakuchezea....

Hapo moja kwa moja unakua ushaingia kwenye UCHAWI hutakuja kuacha kutembelea waganga mpaka nguvu ya ziada itumike kukuondoa hizo IMANI...

Ila UCHAWI Upo na kwenye vitabu umeelezewa hata FARAO aliuutumia sana mbele za Mungu/mbele ya nabii wa Mungu Mussa...
 
Reactions: o_2
Uchawi upo na nakuhakikishia na leo usiku hamlali
 
Kichaa wewe..tena umerogwa pakubwa
 
Kikubwa usiingie kwenye 18 zao. We pambanaa na mambo yako. Kama umeamua kuwa wa Yesu kristo basi kuwa na Yesu. Haya mambo ya witching umwachie Mshana Jr
 
2.


3.

4.

5. Mada inaendelea
 
Faith bears the control of men's reality.
Imani ndio inaongoza uhalisia wa binadamu. Kama unaamini ipo, ipo. Kama ni kinyume chake basi uko sahihi vilevile.
 
Anaesema uchawi upo ila usiuamini na anaesema hakuna uchawi wote mna mtazamo unaofanana
 
wewe unatakiwa urogwe kwanza ili akili yako ikae sawa maana ina mawenge sana
 
Jamii forum ni pana Sana hadi darasa la saba wamo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…