MAMBO KUMI USIYOYAFAHAMU KUHUSU WANAWAKE WALIOKO KWENYE NDOA!
1. Ukimya unaashiria ana zaidi ya hasira (amekasirika sana), kuwa makini.
Kwahiyo, iwapo umemkosea mke wako au mwanamke uliyenaye kwenye mahusiano na yuko kimya, kuwa makini tambua anaweza kupanga mipango ya hatari ya kukudhuru wewe au yeye mwenyewe.
2. Anatambua harufu yako!
Harufu yako anaifahamu, utakapojaribu kumsaliti au kupaka mafuta yeyote yasiyo toka nyumbani au kukumbatiana na yeyote. Tambua kuwa, mke wako atajua tu!
3. Anatambua mavazi yako,viatu vyako na nguo zako za ndani.
Vyote unavyovaa kwenye mwili wako anavifahamu. Chochote kipya ambacho utapokea kama mavazi au kukinunua pasipo kumshirikisha jiandae kujibu maswali ya "Umevitoa wapi?", "Umenunua lini?", Umepewa zawadi na nani?" na maswali mengi yenye kufanana na hayo.
Soma hili Somo lote na bure kabisa
Bonyeza hii link
Mambo Kumi Usiyoyafahamu Kuhusu Wanawake Walioko Kwenye Ndoa - Raha Special