Kama unaangalia huu mpira wa Simba embu kuja hapa

Author

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
1,745
Reaction score
8,230
Hili swala la dactari kutandikwa konde kisha akawekwa kwenye cage kwa muda na mchezaji hakupewa kadi likoje kiutaalamu wa michezo. Maana ajaonekana kuwa damu zimemtoka na alikuwa anatumia tissue kujifuta damu....
 
Ameleta fujo uwanjani katolewa kwenye benchi akakae kwa mashabiki
 
Back
Top Bottom