naangalia tottenham hotspur na burnley.Unaangalia mpira mzee baba?
Ameleta fujo uwanjani katolewa kwenye benchi akakae kwa mashabikiHili swala la dactari kutandikwa konde kisha akawekwa kwenye cage kwa muda na mchezaji hakupewa kadi likoje kiutaalamu wa michezo. Maana ajaonekana kuwa damu zimemtoka na alikuwa anatumia tissue kujifuta damu....