Kama unachangamoto yeyote katika maisha huu soma huu uzi

Kama unachangamoto yeyote katika maisha huu soma huu uzi

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Wakati nasoma chuo nilikuwa ni mtu mwenye mawazo mengi yakinitawala kwa wakati huo kichwa changu kilikuwa ni kama jalala kimejaa matatizo kibao ya kibinafsi,hasa katika mambo ya kigiza I actually sijawahi kuexperience ndoto mbaya kama wakati huo,sikuweza kuexperience maisha magumu zaidi kama wakati huo,maisha kimsingi yaligubikwa na sitomfahamu ya nini kinafata baada ya kumaliza chuo!.

Ndoto zilikuwa zimeniganda kwa kiasi kikubwa na kwa bahati mbaya nikaanza kwenda kwa waganga na kusadikisha wanachokisema,ila ninachoshukuru baadae nikaona acha yapita hata kama wachawi,kurogwa na majini ni kawaida mimi siyo wa kwanza ila,nilikumbuka mda nilioutumia na fedha zangu zimeniuma mno.

Ila nimekuja kutambua kuwa changamoto ni lazima kwetu na unapoweza kuitatua basi lazima itakuja nyengine haya ndiyo maisha tulokuwa nayo,sasa ili uweze kutatua changamoto hutakiwi kufikiria changamoto yenyewe ila utakiwa kutambua hicho kitu kinachokusumbua kina sababu na hiyo sababu unaweza kuichukua kama fursa au kitu cha kawaida isn't threat you anymore,ni kwamba changamoto yeyote tambua kuwa inahitaji solution mfano wewe chapombe tambua kuwa kinachokutesa sio jini wala laana ila huna kazi/shughli ya kufanya na ikiwa unayo ila huwezi kufanya bila ya kunywa ujue upweke umekuzonga jaribu kujichanganya kama unayo kampani ila wote ni wanyapombe ndiyo sababu yenyewe sasa hapo unatakiwa kufikiria positive zaidi ya hapo,either kuwakacha japo sio namna nzuri ya kusolve tatizo au kujikita zaidi kwenye kazi na familia yako.

Changamoto ni msingi wetu wa maisha kama hakuna changamoto basi maisha hakuna,dini zinasema kuwa after earth watu tutakula bata sana ukichukua kwa mantiki zaidi hakuna maisha aftrer death hapa sitaki mjadala, tuendelee kuamini dini na tujue jinsi ya kutatua changamoto.
 
Back
Top Bottom