Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,394
- 13,476
Huyu mzee ni balaa, "Blacklist" ni moja ya drama underrated sana.
Nipo likizo namuangalia Raymond Reddington aka "Red"
Drama inaanza tu jamaa kajisalimisha FBI wakati FBI wamemtafuta miaka na miaka bila mafanikio, wakati movie nyingine zinaisha adui akiuliwa au kujisalimisha, hii inaanza mwamba akijisalimisha yeye.