majinja expressIlo basi linaitwaje maana ndio kitu nilichokiona hapo
Mh!mambo ya kitambo hayo mkuu.Umenikumbusha mbali mkuu kitu walkman redio..
Ahahahahaha... afu nakuelewa Sana ujue!!Hahahah!...Kitambo ukivyaa hivyo unaonekana bonge la mjanja..tena yale ya Eminem na Nelly yametingwa sana,halafu masikioni una earphone kubwa na redio yake mkononi.
ahsante Mkuu.Ahahahahaha... afu nakuelewa Sana ujue!!
Zile za nelly na eminem zilikua cheap, sean john na phatfarm ndio ilikua deal those days. Na the radio unayoongelea ni ya 'cd' [emoji28]Hahahah!...Kitambo ukivyaa hivyo unaonekana bonge la mjanja..tena yale ya Eminem na Nelly yametingwa sana,halafu masikioni una earphone kubwa na redio yake mkononi.
Hahaha Hahaha hata siku moja sifatani naeNyie mnajua huyo ni mpenz wa mtu na hapo kaulambia anaenda kwa my bebi wake akamtoe out.