KAMA UNADHANI WEWE NDIYO TOZI KUJA HAPS UJIONEE KUBWA LA MATOZI

KAMA UNADHANI WEWE NDIYO TOZI KUJA HAPS UJIONEE KUBWA LA MATOZI

Afadhali umechukua picha kwa mgongoni, ungempiga akikuona sidhani kama ungeandika hapa mida hii-naamini tungekutembelea MOI!!
Mkuu mimi ni sniper naweza ila nilimstahi tuuh..! Kazi yangu professional kusnipe pics!
 
Haya ni majipu pia yastahili kushugulikiwa - uvaaji kiheshima unapokua kadamnasi ni muhimu
 
Umenikumbusha mbali mkuu kitu walkman redio..
1a2318e483a73ad32ec24fa49ec0d9b1.jpg
Mh!mambo ya kitambo hayo mkuu.
 
Hahahah!...Kitambo ukivyaa hivyo unaonekana bonge la mjanja..tena yale ya Eminem na Nelly yametingwa sana,halafu masikioni una earphone kubwa na redio yake mkononi.
Ahahahahaha... afu nakuelewa Sana ujue!!
 
Hahahah!...Kitambo ukivyaa hivyo unaonekana bonge la mjanja..tena yale ya Eminem na Nelly yametingwa sana,halafu masikioni una earphone kubwa na redio yake mkononi.
Zile za nelly na eminem zilikua cheap, sean john na phatfarm ndio ilikua deal those days. Na the radio unayoongelea ni ya 'cd' [emoji28]
 
Duh!!!huyo kweli ni kuu la matozi,anatembea Kiatranta zaidi akiwahi familia yake
 
uyo TOZI amenikumbusha primary nilikua navaa mishat mikubwa wakawa wananiambia... mshati mkubwa kama unataka kupaa
 
uyo TOZI amenikumbusha primary nilikua navaa mishat mikubwa wakawa wananiambia... mshati mkubwa kama unataka kupaa
Mkuu na wewe ulikuwaga unadundadunda km kitenesi.
 
Back
Top Bottom