Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mshikaji anapenda kiki kinoma atafurahi akipita humu kama yumo !hata simu anazo tumia japo midosho ni ile mi tablet halafu jamaa sio kimbaumbau ana mwili ulioshiba tena mgomvi mgomvi fulani hivi kwa nguvu ya gym hayo manguo yanamfanya aonekane mwil mdogo ila akivaa za kufit ana m reaemble kala pinahahahahahaaaaaaa, mkuu atakushtaki kwa kumuanika mtandaoni
ahhhaah mimi nilikuw nachomoa mota nafunga kwenye magari ya mipira sasa wenyewe wakirudi nilikuwa nakula kichapoUmenikumbusha mbali mkuu kitu walkman redio..![]()