Kama unaenda kwa Mkapa leo kuishangilia Zesco kapimwe akili

Mikia waliingia uwanjani kufanya fujo.
 
Yanga tukitolewa na zesco haooo kombe la shirikisho kwenye makundi, kimataifa bado tupo sana
Si kweli Yanga ikitolewa na ZESCO itaenda moja kwa moja kwenye makundi Shirikisho, itabidi kwanza icheze play off (mtoano) na moja ya timu bora 16 zinazoshiriki shirikisho kwa sasa ndiyo iweze kuingia makundi ya shirikisho
 
Kutokujua uku shidaaa ni bora kuuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…