Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,498
- 13,138
- Thread starter
- #21
yanga daima mbele ushaambiwa nyuma mwiko tunapepesuka tu lakini hatuangukiNaunga mkono huu uzi 100%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yanga daima mbele ushaambiwa nyuma mwiko tunapepesuka tu lakini hatuangukiNaunga mkono huu uzi 100%
uwanjaniTiketi ntapata wapi?
Leo kutakukuwa na game ya kukata na wembe kati ya watetezi wa nchi dhidi ya wageni Zesco United pale katika dimba la mkapa.
Young Africans ndio timu pekee inayowakilisha nchi katika michuano hii mikubwa kabisa barani Africa hasa baada ya wadau mikia kuangukia pua kwa aibu ya mwaka kwa kusuuziwa rungu na UD Songo jina ambalo ukilitaja kwa shabiki yeyote wa mkia jicho atakalokuangalia kama ingalikuwa ni silaha basi ni AK47.
Kinachonishangaza ni hawa Mashabiki wa MIKIA kupumbazwa na kupofushwa kwa kiwango cha juu na kipigo cha suprise walichokipata dhidi ya watoto wa mujini UD Songo mpaka kufikia hatua ya kukubali kuolewa bila mahari na Zesco United.
Sasa ninyi na mlioamua kuwapa 071... wote mtaabika vibaya mno pale taifa halafu mnanishangaza sana hivi hamjui Dar Es Salaam Young Africans ndio wakombozi wenu?
Njooni kwa wingi mumuone CR7 Molinga straika Mbavu akifanya yake Taifa na mshuhudie namna mme wenu Zesco anavyofanyiwa matusi leo.
Jambo moja la msingi kwanini mnateseka?
Yanga akifungwa au kutolewa katika michuano hii anatua zake Shirikisho hana la kupoteza nyinyi mikia kwani mnashindania kombe gani msimu huu?
😀
#msimuhuumtapatataabusana
#napendasoka
#utaniwajadi
#chiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mkuu wanaonyesha channel gani Dstv?Kitu huko chura anaongoza
Shangaa na wewe leo hii mapovu yanawatoka kama wamelishwa omo yanga bhana chefuuu[emoji57]Mbona mwaka jana mlishangilia wa Algeria, mkaja mkashangilia Al Ahly, mkaja mkashangilia Nkana ?
Nilikuwa sijaona nimecheka sana
Huko ndiko kwa Yanga, miaka 2 mfululizo pointi 3, wakishiriki mwaka huu, watafikisha pointi 4.5 ambazo labda zitatupa nafasi nyingine 4 kwenye mashindano ya CAF.Yanga tukitolewa na zesco haooo kombe la shirikisho kwenye makundi, kimataifa bado tupo sana
Fact jibu mfano Azam fa cup winner je naniliu bingwa Wa nni msimu uliopita sio enz za mababuMpira umeanza kufuatilia mwaka huu sio kosa lako
Una lakusema dagaa wewe?😀 😀 taabu iko pale pale........
Unatia aibu mkuu yaani inaonyesha jinsi gani hamna uhakika na mkifanyacho. Na hata shirikisho mapema sana mnatolewa.Yanga tukitolewa na zesco haooo kombe la shirikisho kwenye makundi, kimataifa bado tupo sana
Yanga ni mabingwa wa kihistoria
Kwahyo UEFA timu zote zinazoshiriki ni mabingwa wa ligi zao uko ulaya? na unafikiri timu zote zinazoshiriki CAF Champions ni mabingwa kwenye ligi zao? Mpira mmeanza fuatilia juzi nyieFact jibu mfano Azam fa cup winner je naniliu bingwa Wa nni msimu uliopita sio enz za mababu
Umeulizwa jibu kachukua kombe gani basi tunahitaji ayo majibu kmc ajachukua kombe lolote lakin kashiriki nimeanza kushabikia juzi mim jibu hili simba alikua bingwa 2007 ligi ndogo finali alicheza na nani matokeo yalikuaje ?? Na mechi ilichezwa wapi mtani usipaniki jibu maisha yaendelee ndio mpiraKwahyo UEFA timu zote zinazoshiriki ni mabingwa wa ligi zao uko ulaya? na unafikiri timu zote zinazoshiriki CAF Champions ni mabingwa kwenye ligi zao? Mpira mmeanza fuatilia juzi nyie