GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ila sitaki tu tukikaa uanze kuomba kupiga Picha nami kwani hapo Utanikera sana kwani hakuna Kitu nakichukia duniani kama Kupiga au Kupigwa Picha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakuja niwekee Siti. Nisalimie sana Chidy na Dula wamwaga Maji maarufu hapo Jukwaani VIP B bila ya Kumsahau na Kisugu hapo Viti vya Chini.Vip B.
Jezi "Ma7"
Nimecheka sana. Nitakuja Mkuu niwekee tu Siti yangu.Mimi nitakaa pale V.I.P B niakuwa nimetupia uzi wa simba na miwani nyeusi
Usipomzoea GENTAMYCINE na ukiwa ni Mpumbavu, Mswahili na Mtu mwenye Wivu na Usununu ( Makasiriko ) hakika utapata taabu nae sana hapa JamiiForums ila walionizoea wala hawateseki nami Malaika Mpendwa wa Mwenyezi Mungu.Kama na kwenye maisha halisi unapenda sifa hivi! Basi kazi kwelikweli....