Kama unafahamu chochote Kuhusu Zanzibar Boutique Hotels pitia hapa!

RAFA_01

Senior Member
Joined
Aug 10, 2022
Posts
103
Reaction score
169
Kama kuna Mtu ambae aliwahi Lala mahala au mfanya kazi ambae ana experience na hiyo kazi naomba atoe muongozo kuhusu Usafiri, gharama za vinywaji pamoja na chakula.

Kama kuna Manager/ Accountant au yeyote ambae alishawahi kuwa kwenye Management ntafurahi sana akiweza kutoa some highlights.

Itakuwa nzuri zaidi kama akiweza elezea zile operating costs in Deep

Najua hili ndio chimbo la Maarifa

NB: Tunazungumzia zile Hotel za 100 USD per Night.

....Kwanza anzeni hapo, Ntaendelea kidg
 
Kama n hiyo 100 USD per night mbona hakuna utofauti na Ramada?
 
Kama mtu hajui jambo ni bora kutojibu.

1. Kwanza kabisa Zanzibar kuna maeneo mawili ambayo ni Mjini na Shamba (vijijini)
Sasa hapo mjini Hotel zipo lkn sio kwa ajili ya watu waliokuja ku relax sana.

Hotel zilizoko shamba zina Beach nzuri na ni expensive kidogo,
Lakini hata kwa dollar 100 per night unapata 4* hotel na utalala kama kawaida.

Kama unakuja kikazi kaa stonetown na Kama unakuja holiday kaa shamba Nungwi, uroa, paje,n.k
 
Ahsante sana kwa Maelezo mazuri.

Location ni Paje Maana kuna ka research kanahusiana na sehemu hiyo
 
Kama kituo cha research ni Paje basi unaweza kukaa anywhere between Jambiani, Paje au Michamvi; wewe tu na convinience yako. Hata ukitaka kukaa town ni sawa pia maana Town hadi Paje ni mwendo wa saa moja tu na nauli ya daladala ni Tsh 2,100 tu.

Usafiri Dar - Zanzibar Tsh 30,000 economy class, Tsh 35,000 business, Tsh 50,000 hadi Tsh 60,000 VIP na Tsh 80,000 hadi Tsh 100,000 kwa Royal Class. Usafiri ndani ya Zenji ni daladala Tsh 500 kwa ndani ya Paje; Tsh 2,100 Paje hadi mjini (Stone Town) na Tsh 50,000 hadi Tsh 70,000 kwa Tax.

Bei za vyakula hotelini hutofautiana kati ya hoteli na hoteli so range ni kati ya Tsh 18,000 hadi Tsh 30,000 kwa vyakula vyetu common kama samaki, kuku, nyama + chipsi, wali, ugali au tambi. Migahawa ya kawaida ipo pia, Tsh 12,000 hadi Tsh 18,000. Sea food ndo bei juu kiasi, Tsh 35,000 hadi Tsh 85,000. Ukiamua kujilipua kwa mama ntilie wapo pia chipsi Tsh 2000 - 3000; wali Tsh 2500 na kadhalika. Uzuri wa Zanzibar ni kwamba matibabu ni bure kwenye hospitali zote za serikali kuanzia kumuona daktari, vipimo hadi dawa.
Juice fresh Tsh 3,000 hadi Tsh 8,000; maji Tsh 2,000 hadi Tsh 4,000; Soda Tsh 2,000 hadi Tsh 3,000; local beers Tsh 5,000 hadi Tsh 8,000; pombe kali Tsh 12,000 hadi Tsh 2,000,000.

Kama sio mlevi mkubwa unapata chakula + kinywaji kwa Tsh 20,000 - Tsh 35,000 safi kabisa.

Welcome to Zanzibar....... Choose us afyazaidi@gmail.com for your full logistics solutions!
 
Hizo gharama ni hadi kwa maisha ya Kila siku ya wakazi!?yani maji wananunua bei hizo au ni kwa wageni!?
 
Safi sana
 
Wakaz wengi wa zanzibar hawanunui maji huchota bure,chakula pia kwa mamantilie ni 2000,chips2000 sijui anazungumzia maji gan labda kwa watalii mi nimeishi bwejuu,unaweza panga chumba kwa 40000×3 ndo kawaida yao
 
Kwa hiyo name unataka akanywe maji kwenye Bomba kama nyie?
 
Ni vyote mahala pa kukaa... kama ulivyosema napia taarifa nyingine, maana ni Market research & Business planning ya Hotel. Ni kazi hiyo sio biashara yangu sijafika level hiyo bado🤣
Ulivyo uliza operating cost nikajua unataka kufanta hiyo biashara😂 kumbe unatafuta accomodation😂 au bado sijakuelewa?
 
Ahsante sana Mkuu
Kama kituo cha research ni Paje basi unaweza kukaa anywhere between Jambiani, Paje au Michamvi; wewe tu na convinience yako. Hata ukitaka kukaa town ni sawa pia maana Town hadi Paje ni mwendo wa saa moja tu na nauli ya daladala ni Tsh 2,100 tu.

Usafiri Dar - Zanzibar Tsh 30,000 economy class, Tsh 35,000 business, Tsh 50,000 hadi Tsh 60,000 VIP na Tsh 80,000 hadi Tsh 100,000 kwa Royal Class. Usafiri ndani ya Zenji ni daladala Tsh 500 kwa ndani ya Paje; Tsh 2,100 Paje hadi mjini (Stone Town) na Tsh 50,000 hadi Tsh 70,000 kwa Tax.

Bei za vyakula hotelini hutofautiana kati ya hoteli na hoteli so range ni kati ya Tsh 18,000 hadi Tsh 30,000 kwa vyakula vyetu common kama samaki, kuku, nyama + chipsi, wali, ugali au tambi. Migahawa ya kawaida ipo pia, Tsh 12,000 hadi Tsh 18,000. Sea food ndo bei juu kiasi, Tsh 35,000 hadi Tsh 85,000. Ukiamua kujilipua kwa mama ntilie wapo pia chipsi Tsh 2000 - 3000; wali Tsh 2500 na kadhalika. Uzuri wa Zanzibar ni kwamba matibabu ni bure kwenye hospitali zote za serikali kuanzia kumuona daktari, vipimo hadi dawa.
Juice fresh Tsh 3,000 hadi Tsh 8,000; maji Tsh 2,000 hadi Tsh 4,000; Soda Tsh 2,000 hadi Tsh 3,000; local beers Tsh 5,000 hadi Tsh 8,000; pombe kali Tsh 12,000 hadi Tsh 2,000,000.

Kama sio mlevi mkubwa unapata chakula + kinywaji kwa Tsh 20,000 - Tsh 35,000 safi kabisa.

Welcome to Zanzibar....... Choose us afyazaidi@gmail.com for your full logistics solutions!
 
Lodge za kawaida ni bei gani kwa siku huko Zanzibar wakuu?,nataka nikishavuna alizeti nataka nikasafishe macho huko!
 
Back
Top Bottom